• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

MWENYEKITI WA HALMASHAURI BAGAMOYO AFUNGA MAFUNZO YA UWAWA..

Posted on: March 22nd, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Mohamedi Usinga asisitiza Umoja na Upendo kwa Wenyeviti wa kamati za shule,Walimu Wakuu,Waratibu Elimu Kata Pamoja na Walimu ili kuweza kufanya kazi kwa mshimakano katika kuhakikisha wanatatua kero na kuboresha suala la elimu mashuleni.

     Amesema hayo leo tarehe 22 Marchi 2023 wakati akifunga mafunzo ya (UWaWa) ya siku tatu kwa Maafisa Elimu kata ,Wenyeviti wa Kamati za Shule Pamoja na Wakuu wa shule za Msingi yalifanyika katika ukumbu wa Mikutao Bagamoyo sekondari.

     Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe Mohamedi Usinga ametoa pongezi za dhati kwa viongozi wote Pamoja a wana mafunzo wote kwa kushiriki mafunzo hayo ambayo yatakwenda kuleta tija kwa wanafunzi pamoja na jamii kijumla kwani elimu ndio msingi wa Maisha ya binadamu.

‘’Tunae Afisa Elimu mzuri sana ambae anapenda kushirikisha ,kujifunza, kuwatia moyo watumishi wake ambao anafanya nao kazi Pamoja na uwepo wa Wenyeviti wa Kamati za shule imeonesha kwa dhati kabisa kuwa ushirikishwaji katika jambo la Elimu ni Mkubwa sana napenda kuwapongeza’’amesema Mhe Usinga.

     Pia Mhe Mwenyekiti amesema kuwa Wenyeviti wa Kamati shule wanafanya kazi kubwa sana hivyo uwepo wao kwenye Mafunzo hayo utasaidia Kwenda kuongeza hamasa katika katika jamii wanazotoka na kuhakikisha wazazi na walezi wanakuwa kitu kimoja ili kuhakikisha Watoto wanapata elimu iliyo bora na si bora elimu.

     Aidha Mhe Mwenyekiti ametoa ushauri kwa Ofisi ya Afisa Elimu Wilaya kuona namna washiriki hao wa Mfunzo hasa Wenyeviti wa kamati za shule kushiriki katika vikao mbalimbali vya maendeleo ya kata ili kuweza kutoa ushuhuda wa namna mafunzo yanavyosaidia wanafunzi katika kuinuka kwa elimu.

‘’Ni mategemo yangu sasa leo hapa mafunzo ya siku tatu tumemaliza natarajia kuona haya mafunzo pia yanakwenda kuleta tija kwenu na katika jamii ‘’amesema Mhe Usinga.

     Kwa upande wake Afisa Elimu ya Awali na Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi Wema Kajigili amewashukuru washiriki wote wakiwemo Maafisa elimu Kata,Pamoja na Wenyeviti wa Kamati za shule katika Halmashauri ya Bagamoyo kwa ushirikiano wao na kufanya Halmashauri ya Wilaya ya Bagoyo kuongoza katika Nyanja zote za kielimu Mkoa wa Pwani.

    Mafunzo ya Ushirikiano kati ya Walimu na Wazazi (UWaWa) yanafadhiliwa na Mradi wa Elimu Bora kupitia ufadhili wa serikali ya Uingereza (UK Aid) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Ofisi ya Rais Tamisemi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo