• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS MIPANGO NA UWEKEZAJI AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI...

Posted on: December 18th, 2024

NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS MIPANGO NA UWEKEZAJI AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe Stanslaus Nyongo Leo  afungua kongamano la Biashara na Uwekezaji lilofanyika katika shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere iliopo Kibaha kwa Mathius na kueleza sera za Serikali katika kukuza sekta ya Biashara na Uwekezaji kwa uwanzishwaji wa Idara ya Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zote nchini na kuanzisha mfumo wa kusajili wawekezaji (Tanzania Investment Window).

Aidha amemshukuru Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mchango wake mkubwa katika uboreshaji wa sera za Uwekezaji kwa kuanzisha Wizara maalum ya Mipango na Uwekezaji ambayo ipo chini ya Ofisi yake.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge amesema Kongamano litawezesha kujua jitihada kubwa za Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan katika Kuboresha Sekta ya Biashara na Uwekezaji zilizotokana na Sera nzuri pamoja na utekelezaji wa Sera hizo

Aidha Wadau mbalimbali wa Uwekezaji watapata fursa ya kuona maeneo mbalimbali ya Uwekezaji, bidhaa zinazozalishwa na kuona malighafi za viwanda zinapopatikana.

Aliongeza kuwa mdahalo huo utatumika kama njia ya kujifunza ili kuongeza spidi ya ukuwaji wa sekta ya Biashara na Uwekezaji.

Alibainisha kuwa kwa mkoa unamiundombinu Sahihi  kwa utekelezaji wa Uwekezaji zikiwemo Barabara, umeme, Maji, na gesi.

Mada zilizojadiliwa katika Kongamano hilo ni pamoja na Fursa za Uwekezaji katika uchumi wa Blue Mkoani Pwani, Matumizi Sahihi ya nishati safi  katika mabadiriko ya Tabia Nchi na Ushirikishwaji wa Sekta binafsi katika kukuza Biashara na Uwekezaji.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo