• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS ( TAMISEMI ) DK FESTO JOHN LUGANGE ATEMBELEA WILAYANI BAYAMOYO PAMOJA NA HOSPITAL YA WILAYA

Posted on: January 6th, 2021

Naibu Waziri ofisi ya Raisi ( Tamisemi ) dkt Festo John Lugange mapema hii leo tarehe 

6 januari 2021 ametembelea katika halmashauri ya wilaya ya bagamoyo pamoja na

 hospitali ya wilaya hiyo.

Katika ziara hiyo Mhe Naibu Waziri Tamisemi amepokelewa na Mkuu wa Wilaya Mhe

Zainab Kawawa,Mkurugenzi  Mtendaji  wa Halmashauri ya Bagamoyo Bi Fatuma O

Latu, pamoja na madiwani ,wakuu wa idara mbalimbali za halmashauri hiyo na 

kuelezezwa utendaji kazi wa idara hizo pamoja na changamoto zilizopo.

Mhe Naibu Waziri Tamisemi amefurahi kufika katika halmashauri ya wilaya ya bagamoyo

na kuwashauri mambo mbalimbali pamoja na namna ya kutatua changamoto zinazowa

kabili haswa swala la ujenzi wa vyumba vya madarasa ambavyo kiujumla wanatakiwa 

wakamilishe ili wanafunzi waweze kuanza kusoma masomo ya kidato cha kwanza mwaka

huu 2021.

Pia Naibu Waziri Tamisemi amewatakla watu wote ambao wanahusika katika ukusanyaji wa

mapato ya ndani wahakikishe wanafikia malengo walio jiwekea ili kuweza kuendana na agizo

ambalo serikali imezitaka halmashauri zote kuhakikisha mapato ya ndani yanafikia  asilimia

50 kwa kila mwezi na kuhakikisha wanafanya mgawanyo wa mapato hayo kama ambavyo

walivyoagizwa na serikali.

Naibu Waziri Tamisemi pia ametembelea hospital ya Wilaya ya bagamoyo ili kuweza kuona 

utendaji kazi ambao upo na namna ambavyo wananchi wanapata huduma iliyo kuwa bora

kama ambavyo serikali ilivyoagiza kwa kila mwananchi anapata huduma bora katika vituo 

vyote vya afya nchini..

Naibu Waziri Tamisemi amesema kutoridhishwa na utendaji kazi wa hospital hiyo pamoja na

uongozi uliopo kuanzia mganga mfawidhi,matron na timu ya uendeshaji  ya hospital kiujumla

kutokana na kero zilizokuwepo pia kutokuwepo kwa mfumo sahihi wa ukusanyaji wa fedha 

pamoja na ukosefu wa risiti za kuonesha mapato yanayoingia katika hospital hiyo ,mazingira

yasiyorafiki kwa wagojwa ikiwemo kuwepo kwa uchafu vyooni,lugha mbaya pamoja na

mazingira yaliyozunguka hospital.

Naibu Waziri Tamisemi  ameagiza kuwa Mganga Mfawidhi,Matroni wakae pembeni na kutafuta

Mganga Mfawidhi mwenye uwezo na Matron mwenye uwezo wa kusimamia ipasavyo huduma 

za afya katika Hospital  ya bagamoyo.

Pia ameagiza mganga mkuu wa wilaya kukaa pembeni  kwanza, Tamisemi itatoa utaratibu mzuri

wa kuboresha na kupata Mganga Mkuu  wa Wilaya ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ili 

aje kusimamia majukumu hayo, wakati hatua nyingine za taratibu za kiutumishi zinafatwa  kwa 

Mganga Mkuu huyo wa Bagamoyo.

‘’kwa maana hii na kuwepo ka kero hizi maana yake timu nzima akiwepo  mganga mkuu wa wilaya

halamashauri ya bagamoyo hatuendi vizuri lakini tunaghalimu  maisha ya wanachi, tunaghalimu

taswira ya serikal,i tunamgharimu mkurugenzi lakini Mhe DC na serikali kiujumla na sisi Tamisemi

mnatugharimu kwa sababu ni kazi yetu kusimamia ba sisi hatupo tayari wanachi wakose huduma

bora kwa sababu ya uzembe wa watu wachache ambao wamepewa dhamana hatupo tayari kabisa

‘’alisema  dkt Festo  John  Naibu Waziri Tamisemi

Aidha pia Mhe Naibu Waziri Tamisemi ametoa maelekezo  kuwa  ifikapo tarehe 30 januari anafika

tena hapo katika hospitali ya halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kuona mapato yote ya hospital

na maeneo yote ambayo  yanalipiwa takwimu zinaonesha ni kiasi gani kimelipwa fedha hizo zimefanya

kazi gani na kuweka mfumo wote wa mapokezi wa wagojwa,matunizi ya dawa vitabu vyote ambavyo

vinatakiwa kutumika kuonesha  takwimu za wagonjwa waliopata huduma.

Ziara hiyo ni muendelezo wa ziara mbalimbali zinazofanywa na mawaziri wa wizara tofauti nchi nzima ili 

kuhakikisha watumishi wa umma wanafanya kazi kwa kuzingatia sheria na misingi ya utawala bora na

wanachi wanapata huduma zilizokuwa bora na kutatua kero mablimbali katika wilaya,vijiji na mikoa nchi zima.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo