• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

NAIBU WAZIRI UTUMISHI AKUTANA NA WATUMISHI BAGAMOYO, AANIKA NEEMA LUKUKI...

Posted on: July 14th, 2023

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Manejimenti ya Utumishi wa Umma  na Utawala Bora Mhe.Ridhwan Kikwete amefanya ziara ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na na kukutana na watumishi wa Halmashauri ya Bagamoyo  Julai 14, 2023 katika ukumbi wa Stella Maris Bagamoyo.

      Akizungumza na watumishi hao Mhe. Ridhwani Kikwete alisema kuwa, lengo la ziara yake kwanza kupita na kuzungumza na watumishi lakini pia, kujua changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi hao.  

Alisisitiza kuwa, kuna mambo kadhaa ambayo mtumishi wa Umma anapaswa kuwa  nayo  ikiwemo  mtumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi pamoja na ubunifu ili kuwaletea wananchi maendeleo kama anavyosisitiza Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Sluhu Hassan.

 Alieleza kuwa Mhe.Rais alishatoa maagizo  tarehe 21 Aprili 2021 ni utumishi wa aina gani angependa kuona kutoka kwa watumishi ili wananchi wahudumiwe ipasavyo. “ Ndugu zangu mnakumbuka kabisa Mhe.Rais wetu alitoa maelekezo kuhusu aina ya utumishi wa Umma anao utaka, ukiwemo utumishi wenye weledi na ubunifu,Utumishi wa Umma unaotoa haki wa wananchi, wenye vipimo pamoja na utumishi wa Umma wenye Mkakati na wenye ubunifu “. Alisisitiza Mhe.Kikwete.

        Aidha Mhe.Kikwete alieleza mafanikio makubwa yaliyofanywa na  Mhe Rais hasa katika suala zima la kuongeza ajira mpya kwa vijana, Upandishwaji wa madaraja, pamoja na kulipa malimbikizo ambayo ilikuwa moja ya kero kubwa kwa watumishi wa Umma kwa muda mrefu. 

“ Mwaka 2021 Mhe. Rais wetu alitoa dira ya Utumishi wa Umma ikiwemo ajira mpya 70,000 kupunguza malibikizo pamoja kulipa madeni ya wastaafu “ Alibainisha Mhe. Kikwete. Baada ya kusikiliza kero mbalimbali za watumishi Mhe.Kikwete alitoa maelezo za baadhi ya kero hizo na kumuagiza  Mkurugenzi wa Halmashauri kutatua kero za watumishi kwa kuzingatia  kanuni na sheria za Utumishi wa Umma.

        Kwa upande wake, akitoa taarifa ya hali ya utumishi  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Bagamoyo Ndg. Shauri Selenda alisema kuwa, mahitaji ya watumishi kwa Halmshauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa sasa ni Watumishi 2141 na waliopo kwa sasa ni watumishi 1864 hivyo kuwa upungufu wa watumishi 277 kwa ujumla wake.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo