• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

NENDENI MKAANGALIE MASLAHI YA WANANCHI -MKURUGENZI BAGAMOYO...

Posted on: December 11th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo Shauri Selenda Ametoa rai kwa Wenyeviti wa Kitongoji na Vijiji Kwenda kuwatumikia wananchi na kuangalia maslahi mapana ya wananchi wakati wa kufungua Mafunzo kwa Wenyeviti wa Vitongoji na Vijiji tarehe 11 Desemaba 2024.

Mkurugenzi amesema kuwa baada ya kumalizika zoezi la uchaguzi na wananchi kuwapa ridhaa ya kuwatumiakia katika vitongoji vyao na vijiji wanatakiwa kuhakikisha wanakwenda kuwatumikia wananchi hao badala ya kuangalia maslahi yao binafsi.

Vilevile ndg Selenda ameongeza kwa amesema kuwa ni muhimu kutengeneza mpango kazi wa kutatua migogoro ya wananchi hasa kwenye suala la migogoro ya ardhi na kuhakikisha wahatengenezi migogoro mipya.

Aidha Mkurugenzi amewaasa Wenyeviti hao kuwa waadilifu katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku kuepuka mambo amabayo yanaweza kuleta athari na kutengeneza taharuki kwa wananchi wanao watumikia

Pia Ndg Selenda amesema ya kuwa suala la kuzungumza kuhusu Wilaya kiujumla hilo ni jambo ambalo Mhe Mkuu wa Wilaya ndio msemaji katika Wilaya ya sio mtu mwingine hivyo Viongozi hao wajiepushe na swala hilo katika vyombo vya Habari kwani jukumu hilo tayari linajulikana lipo kwenye Mamlaka yapi.

‘’Jukumu la kuisemea wilaya nila Mhe Mkuu wa Wilaya na sio mtu mwingine aidha Halmashauri ni Mwenyekiti wa Halmashauri ama Mkurugenzi Mtendaji hivyo jiepusheni kufanya hivyo kwa maana mnaweza kutoa taarifa ambazo sio za kweli na kuleta taharuki kwa wananchi’’amesema Selenda.

Mafunzo hayo kwa Wenyeviti wa Vitongoji Pamoja na Vijji yanalengo la kutoa elimu na uelewa kwa viongozi hao ili kuweza kufahamu ni namna gani wanatakiwa kuwa pindi wawapo katika majukumu yao ya kazi za kuwatumikia wananchi.

Katika Mafunzo hayo Wenyeviti hao wamejifunza sheria ya maadili ya viongozi wa Umma,misingi ya maadili Pamoja na mambo mbalimbali ambayo yalilenga kuongeza ufahamu katika swala zima la uongozi kiujumla.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo