• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

NI MARUFUKU KUCHIMBA MCHANGA.

Posted on: March 17th, 2021

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe Zainab Kawawa amepiga marufuku uchimbaji wa mchanga katika maeneo ambayo yamewekewa marufuku ya kuchimbwa mchanga
Ameyasema hayo machi 17 2021 wakati alipotembele Mataya ambako kunafanyika shughuli ya uchimbaji wa mchanga na kupiga Marufuku kuendelea kuchimba mchanga katika eneo hilo.

Mhe zainab amesema sehemu hiyo sio sehemu ya kuendelea kuchimba mchanga kwanza ni sehemu ya makazi ya watu huku Akitaka kutolewa vibali vya kufikia Mashimo na sio kuchimba mchanga.
"Ni marufuku kuchimba mchanga kwani hata mwenye eneo Hataki watu wachimbe mchanga na wote mmemsikia na sisi kam serikali tunasema hatutaki watu wachimbe mchanga"alisema mkuu wa wilaya

Pia mkuu wa wilaya amesema wanao omba vibali vya kuchimba mchanga wafate taratibu zote zinazotakiwa hata kama umepewa kibali cha madini lazima ufate taratibu
Aidha mhe Mwenyekiti wa Halmashauri  amesema Halmashauri tayari imeshatoa zuio la uchimbaji wa mchanga katika eneo hilo na kuelekeza ni sehemu zipi ambazo zinatakiwa kufanyika uchimbaji wa mchanga hivyo ni vizuri kufata utaratibu ulio wekwa.
Mhe Usinga amepongeza juhudi za Mkuu wa Wilaya katika kuhakikisha anatatua kero zote za wananchi na kisimamia haki na usawa katika wilaya yake ili kusiwepo mwananchi ambae anapata uonevu


Mhe Mwenyekiti amewaomba wananchi kutotumika Vibaya na watu wenye Nia mbaya ambao wanajali masilahi Yao binafsi na sio ya wananchi na kusisitiza kila mwananchi anapaswa kuwa mlinzi kwa mwenzake

Sanjari na hayo wananchi wa Mataya wamepongeza hatua zilizochukuliwa na Mkuu wa Wilaya pamoja na mwenyekiti na kuwaomba kuendelea kuchapa kazi kwa maendeleo ya Bagamoyo na Taifa kiujumla.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo