• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

NMB BAGAMOYO YA NG’ARA...

Posted on: July 12th, 2023


Benki ya NMB tawi la Bagamoyo imekutana na menagimenti ya Halmashuri  ya Bagamoyo  kuadhimisha Miaka 25 ya kuanzishwa kwa Benki katika ukumbi  wa Halmashauri leo    12 Julai 2023.

Akiwakaribisha wageni hawo , Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Bagamoyo  alitoa shukrani  za dhati katika kwa Benki hiyo  kwa kuonesha ushurikiano mkubwa   katika Nyanja mbalimbali za huduma kwa Serikali.

      Aidha akizungumza  katika hafla hiyo, Meneja Mkuu wa NMB Ally  Ngingite ,amesema Benki ya NMB imefanikiwa  sehumu bubwa kufikia hapa tangu kuanzishwa kwake 1997. Alisema kuwa mafanikio ya Benki hiyo ni pamoja na NMB  imefanikiwa kuvumbua njia mbalimbali za kutoa huduma kutoka asilimia   Zero  mpaka kufikia  ATM 800  ,kuongeza upatikanaji  wa faida na kuwa kinara kati ya Benki zote hapa Nchini, Kukabidhi gawio la Serikali kiasi cha shilingi bill 45.5, kuimarisha ushirikiano mzuri na Serikaali ,kuunganisha taasisi mbalimbali za Kiserikali ,kuwa katika nafasi ya 3 katika ukanda wa Afrika Mashariki ,kufungua matawi mbalimbali ya uwakala yasiyopungua elfu ishirini 20,000 Tanzania nzima pamoja na  huduma ya NMB mkononi. “ Haya ni mafanikio makubwa ya Benki yetu tangu kuanzishwa kwake”. Alisema Bwana Ngingite.

          Kwa upande wake Meneja wa   Mawasiliano wa Benki hiyo Bi Lydia  Mgweno ameainisha maboresho  na masulihishi yaliyofanyika kwa lengo la kuboresha huduma zao ya kiwemo, Kutoa mikopo ya elimu kuanzia awali mpaka elimu  ya juu kwa riba ya asilimia 9 kwa ajili ya kuzisaidia kaya msikini zisizo jiweza , kutoa mikopo kwa  watumishi  wapya ,kutoa mikopo kwa waajiriwa wanaotumia NMB kupokea mishahara yao,pamoja na kufanya maboresho katika akaunti ya WEKEZA ,akaunti ya pamoja ya watoto kuanzia miaka 0-13 bila makato yoyote , akaunti ya pamoja kwaajili ya  vikundi.

        Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Bagamoyo  ameiaomba Benki ya NMB kuimarisha uhusiano na kuiunga mkono Halmashauri katika kuziinua Idara mbalimbali zilizopo ikiwemo Idara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kuzipatia vitendea kazi kama vile kompyuta ,jezi za michezo pamoja na mipira kwaajili yakuboresha michezo ndani ya Halmashsuri.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo