• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

OKASH AWAPONGEZA HALMASHAURI YA BAGAMOYO...

Posted on: August 22nd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Halima Okash ameipongeza Halmashauri ya Bagamoyo kwa kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato kwa kufikia asilimia 108.3 sawa na shilingi Bilioni 6.3 kwa mwaka wa fedha 2023-2024.

Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa pongezi hizo hii leo tarehe 22 Agosti 2024 wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya Nne lililoketi katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo.

Akizungumza mbele ya Waheshimiwa madiwani Mhe Okash amewataka watumishi wa Halmashauri kuendelea kuzingatia sheria na taratibu za matumizi ya fedha ili kuepuka kuzalisha hoja za wakaguzi wa ndani kwa lengo la kuendelea kuiweka Halmashauri sehemu salama na kuendela kupata hati safi.

Pia Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji na Waheshimiwa Madiwani kwa usimamizi mzuri wa miradi huku akiwaomba waheshimiwa madiwani kwa mwaka 2024-25 kwa kushirikiana kwa karibu na Mkuerugenzi Mtendaji kumalizia miradi yote viporo iliyopo katika Halmashauri hiyo.

Sambamba na hilo amewataka Madiwani kuendelea kufanya mikutano ya hadhara na wananchi ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi pamoja na kuisemea vizuri serikali ya awamu ya sita iliyo chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Samia Suluhu Hassani.

Mbali na hayo Mhe Halima Okash amewataka viongozi na wataalamu wa Halmashauri ya Bagamoyo kuendelea kupinga ukatili wa kijinsi katika Halmashauri ya Bagamoyo kwa kufanya kampeni za kupinga ukatili wa kijinsi na kutoa taarifa kwa wakati juu ya vitendo vya ukatili wa kijinsi pindi tu vinapotokea na kutoa ushilikiano kwa vyombo vya sheria na watu wa ustawi wa jamii ili kuweza kukomesha vitendo hivo

Sambamba na hayo yote Mhe Okash amewakumbusha viongozi wa Halmashauri ya Bagamoyo kuhusu zoezi la uchaguzi na kuwataka kwenda kufanya uamasishaji kwa wananchi waliopo katika maeneo yao kujitokeza katika zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura na kujitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo