• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

PINDA ASISITIZA KILIMO CHA KISASA.

Posted on: August 5th, 2022


Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya awamu ya Nne Mhe.Mizengo Kayanza Petar Pinda amesisitiza umuhimu wa Watazania kulima na kufuga kwa kisasa ili kuongeza tija katika kilimo na ufugaji. Aliyasema hayo  wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya 29 ya kilimo kwa kanda ya Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya  Mwalimu Nyerere Nane mjini Morogoro. Alisema imefika wakati sasa kwa wakulima kutumia mbinu bora za kilimo cha kisasa na ufugaji ulio bora. ‘’ Hatuwezi kulima kama tulivyozoea tekinologia ya kilimo na ufugaji sasa imebadilika sana hivyo ndugu za na sisi lazima tuende na mabadiliko ya muda’’ alisistiza Mhe. Pinda. Kuhusu elimu ya ufugaji na kilimo bora alishauri kuvitumia vyuo vyetu kwa nni wanafanya tafiti nyingi za kilimo na ufugaji lakini tafiti hizo hazijeweza kutumika ipasavyo . Matumizi ya tafiti hizo yatasaidia kuinua kiwango cha kilimo na ufugaji wa kisasa na kuongeza pato la mtu mmojammojq na Taifa kwa ujumla.’’ Ni vyema tukatumia tafiti zinazofanywa na hawa wenzetu vyuo vya kilimo na mifugo badala ya kuwalaamu tu kuwa hawasidii chcochote  kwa kweli wana tafiti nyingi zasa amabzo bado hazijatumika vizuri’’ alisema,

    Mhe. Pinda aliomba wataalam wa Kilimo na ufugaji kuhakikisha kuwa utalaamu unaonyeshwa katika maonesho ushuke hadi ngazi za Kata na Vijiji  ndipo t wananchi watafaidika na mabadilko na mafunzo ya kilimo na ufugaji yanayotolewa katika ngazi za juu hii itasadia kufikia lengo la Kaulimbiu yetu ya mwaka huu kuwa  10/30 kilimo kuwa biashara. ’’ Najua tunaweza kufanya hivyo ndugu zangu’’ alibainisha  Kuhusu mafanikio ya maendeleo ya maonesho ya nanenane alishauri baada ya maonesho kwisha uongozi kufanya taathimini ya mafanikio na changamoto zilizojitokewza ilikuzifanyia kazi katika maonesho yanayofuata na pia kuweka thamani ya kazi hii ya maonesho. Kyfanyika kwa tathimini kutasaidia kuongeza pia maboresho na kujua thamani ya fedha zinazotumika katika maoenesho mbalimbali.’’ Ni lazima tufanye ththimin ya maonesho ya 88 kila mwaka ili kujua tija iliyopatikana kupitia maonesho haya’’  alishauri,

          Kuhusu suala la Sensa ya awatu na Makzi Mhe. Pinda aliwaomba watazania wote kujitokeza katika zoezi la Sensa tarehe 23 Agosti Mwaka huu. Alisema kuwa, ni zoezi muhimu sana kwa Taifa letu kwa kuwa itasaidia kupanga maendeleo yetu.Kupatikana kwa takwimu sahihi ya watu kutasidia hata utoaji wa huduma mbalimbali za afya,elimu na maendeleo ya jamiiiz etu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo