• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

PONGEZI KWA KUTOA MILIONI 307,933,134.00 KWA VIKUNDI VYA VIJANA,WANAWAKE NA WATU WENYE ULEMAVU.

Posted on: November 18th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Zainab Abadallah ameipongea Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kufanikisha kutoa  Mikopo kwa vikundi vya Vijana 22,,Wanawake 20  pamoja na Walemavu 18 kwa kutoa kiasi cha Shilingi Milioni 307,,9933,134.00

akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utoaji wa Mikopo kwa vikundi hivyo iliyoo fanyika tarehe 18/11/2021 katika ukumbi wa Tasuba Mkuu huyo wa Wilaya amepongeza juhudi kubwa zilizofanywa na Halmashauri hiyo ya Bagamoyo kwa kutoa kiasi hicho cha fedha kwa robo ya kwanza kwa mwaka 2021/2022.

''kwa dhati ya moyo wangu naipongeza Halmashauri ya Bagmoyo kwa jambo hili kubwa na la kihistoria walilolifanya katika Halmashauri ya Bagamoyo na kwakweli kazi mnayofanya serikali inaiyona'' amesema Mkuu wa Wilaya

Aidha Mhe Zainab ameendelea kwa kusema kuwa kuendelea kufanya usimamizi wa mapato kwani kadri kunavyozidi kukusanywa kwa mapato ndipo asilimia 10 inazidi kuwa kubwa ambayo ndio inatumika kutoa mikopo katika vikundi vyote hivyo.

Pia Mhe Mkuu wa Wilaya ametaka kuona kuwa vijana wengi wanapata mikopo ili waweze kufungua viwanda vikubwa vya kuzalisha vitu mbalimbali ili kuweza kuleta mustakabali  wa taifa letu

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Babagmoyo Ndg Shauri Selenda amesema kuwa Halmashauri kupitia idara ya Maendeleo ya jamii inaendelea kuratibu zoezi la utoaji wa  mikopo kwa vikundi vya Wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi.

katika  kipindi cha mwaka 2020/2021 idadi ya kuratibu zoezi la utoaji wa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni  Mia  611,339 ilitolewa katika vikundi vya Vijana,Wanawake na Watu wenye ulemavu ambapo mikopo hiyo ilitolewa kwa kata zote 11


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo