• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

PWANI WAPO TAYARI KWA SHULE BORA KWA VITENDO.

Posted on: October 13th, 2022

*PWANI WAPO TAYARI KWA SHULE BORA KWA VITENDO*

Ikiwa ni Lengo la  kupunguza idadi ya wanaofeli katika Mitihani ya Taifa Kwa Shule za Serikali Mkoa wa Pwani Pamoja na kuongeza Ufaulu Kwa Wanafunzi hao katika Mitihani Yao nchini,

Maofisa Mbalimbali Mkoa wa Pwani Kwa Wilaya zake zote tisa wamekutana Leo 12.10.2022 katika ukumbi wa sekondari ya Kibaha Lengo ni kujadili Jinsia Gani Ufaulu utaongezeka Mkoa wa Pwani maofisa hao ni Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini maafisa Elimu Awali na Msingi, Maendeleo ya Jamii, na Ustawi wa jamii,

Akizungumza Wakati wa mafunzo  elekezi kuhusu mpango wa utayari wa kuanza  Shule katika Semina hiyo Mratibu wa Shule Bora Mkoa wa Pwani Bi Oliver Kapaya alifafanua Kwamba.

*"Kwa  Sasa Mkoa wa Pwani una mpango kabambe wa kuhakikisha Elimu Msingi na sekondari Ufaulu unaongezeka Kwa kupunguza changamoto zinazozikabili jamii za Pwani ikiwemo Umbali wa Shule Pamoja,Mimba za utotoni,kuanza Elimu ya Awali Mapema, Utamaduni, na Uhaba wa wawalimu katka baadhi ya Shule za wilaya za Mkoa wa Pwani*"

*"Kwa Sasa Mkoa wetu unaelekea kuondoka katika Namba za chini za Ufaulu tuna Imani mpango Huu wa Shule Bora ukiisha na Pwani itakua ishaondokana na Ombwe hili la Wanafunzi kufeli ama kuacha Shule Kutoka na sababu Hizi nilizozitaja  Japo jamii haitaacha Kuwa na changamoto nyengine kwa Wakati huo  alisema  Kapaya*"

*" Tupo tayari Kwa Shule Bora na Elimu Bora Kwa kuhamasisha jamii yetu na Sisi kama wataalam kupunguza changamoto ili Kufikia Lengo la mpango wa Shule Bora la upatikanaji Kwa kuboresha mazingira ya Awali alisema Afisa Elimu Watu wazima Wilaya rufiji Mwalimu Hamisi Chikaula*"

Nae Kaimu Msimamizi wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano Serikalini Wilaya kisarawe akizungumza katika Kikao hicho alishukuru Serikali ya Uingereza Kwa ufadhili wa kupitia mfuko wa UK aid Kwa kufadhili gharama za miradi Tanzania zitakua na Bajeti ya Paundi za kingereza milioni themanini na Tisa  Sawa na shillingi Za kitanzania Bilioni mia mbili sabini na Moja Kwa kufanya Kazi Kwa ngazi zote za mradi mpaka Mwaka 2027 hivyo Unakua na wigo mpana Kwa jamii kuwezeshwa Kuelewa Nini Cha kufanya Kipindi mradi unapokua katika jamii yake Kwa kupitia Maafisa Habari,


*"Kitendo Cha miradi ya Serikali kujumuisha mafisa habari na mawasiliano Serikali inajua rahisi Sana mradi huo kutambulika Kwa jamii na jamii Kutumia fursa wezeshi kuhusika Moja Kwa moja Kwa hamasa na Tarifa kupata Kutoka huko alisema Waziri*"


*"Mradi Huu wa Shule Bora unalenga katika mambo manne nayo ni Kujifunza, Kufundisha, Jumuishi,na kujenga mfumo alimazia Ndugu Wazir*".

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo