• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Rais Samia Mkombozi wa Wanawake sekta ya Maji..

Posted on: February 13th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuzidi kuendelea kutatua changamoto ambazo zilikuwa ni sugu kwa Wanawake hapa nchni,


Akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa maji wa kata ya Fukayosi wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani  alisema kuwa Rais Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amedhamilia kwa moyo wake wa dhati kuhakikisha wanawake wanaondokana na changamoto ya maji na badala yake wanajikita katika uzalishaji wa uchumi.

Aliongeza kuwa Wanawake wengi walikuwa ni wahanga wakubwa wa changamoto za ukosekanaji wa maji hivyo muda mwingi wamekuwa wakiutumia kutafuta maji na sio kutengeneza uchumi kitu hicho kimekuwa kikimuumiza kichwa sana Mhe. Rais ndio maana anazitatua kero hizo kila kukicha kwa kutoa fedha za miradi ya maji.

Mkuu wa Mkoa ameongeza kuwa kukamilika kwa mradi wa maji katika kata ya Fukayosi unakwenda kuokoa uchumi wa wanawake wa Bagamoyo kwani wengi waliokuwa wakikesha kutafuta maji sasa wanakwenda kuzalisha uchumi wao kwani maji yako mlangoni na wanaanza kuchota bila wasiwasi.

“Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni Mwanamke ndio maana amekuwa akipambana sana na chanagamoto hizo kutokana na kuwa hata yeye amezipitia hivyo anataka changamoto hizo ziishe kabisa na zibaki kuwa historia katika Taifa hili” Alisema Mhe Abubakar Kunenge

Aidha aliongeza kuwa mradi huu ni mkubwa hivyo ni jukumu la wananchi kuulinda ili uweze kudumu kwa kipindi kirefu.

Naye Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Bagamoyo James Kionaumela amesema kuwa mradi huo umegharimu kiasi cha shilingi Milioni mia tatu hamsini (350,344,596,00) zote zikiwa ni pesa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Aliongeza kuwa Wanawake wanahaki ya kulinga sasa juu ya Rais huyu mwenye maono makubwa juu ya utekelezaji wa miradi ya maji kwani Rais ameamua kuwatua wanawake ndoo kichwani kwa dhati kabisa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo