• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

RC KUNENGE INGILIENI KATI MIGOGORO YA ARDHI

Posted on: April 22nd, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge,ameingilia kati mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wavamizi pamoja na moja ya familia ambayo ndio wamiliki halali wa eneo huko Kitongoji Cha Sanzale Kata ya Magomeni, Bagamoyo.

Akiwa katika eneo lenye mgogoro aliwataka  wananchi hao, kuhakikisha wanalipa fidia ya eneo hilo kwa kufuata makubaliano yaliyotolewa na familia.

Aidha , amemuagiza Mkuu wa Wilaya hiyo Zainabu Abdallah kuhakikisha anaendesha msako wa  kuwakamata matapeli wote waliohusika katika eneo hilo ili wachukuliwe hatua za kisheria


“Naishukuru familia ya marehemu kwa kugoma kubomoa nyumba za wananchi hawa ,Namuagiza Mkuu wa Wilaya kufuatilia kwa karibu ili wakishakubaliana watu hawa wafanyiwe mpango wa kupewa hati za umiliki,”alibainisha Kunenge.

Licha ya maagizo hayo ,pia atafanya kikao na baadhi ya wawakilishi wa wananchi, msimamizi wa mirathi,familia na Mkuu wa Wilaya ili kuona namna ambavyo wananchi hao watalipa kwa utaratibu maalum na wenye kufaa.

Alisema ,baada ya utaratibu huo kukamilika wananchi hao watapata huduma muhimu ikiwa ni pamoja na maji na umeme huku akiwasisitiza wananchi kufuata sheria na taratibu pale wanapotaka kununua na hata kujenga nyumba zao.

Vilevile Kunenge alieleza,jambo ambalo limeamriwa na Mahakama hakuna anayeweza kutengua wala kuingilia isipokuwa hatua nyingine ya Kimahakama(Rufaa) na kwamba kinachotakiwa ni utekelezaji wa Mahakama .

Aliongezea, Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ipo katika kuwasaidia wananchi na ndio maana amefika eneo hilo kutatua mgogoro huo kwa kuzingatia taratibu na misingi ya kisheria.


Nae msimamizi wa mirathi ,Salim Mgombeo,alielezea anachotaka waliogoma kulipa waondoke lakini waliokubali kulipa wabaki na kwamba mgogoro huo ni mkubwa.

Baadhi ya Wananchi hao, akiwemo Amina Azizi na Hassan Ng’anzi,wanasema wapo tayari kulipa na wameomba Serikali iweke utaratibu maalum ambao utawawezesha kulipa bila usumbufu .

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo