• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

RC Ndikilo awataka wakulima Wilayani Bagamoyo kulima kisasa kwani soko la uhakika la bidhaa lipo.

Posted on: May 14th, 2017

Wakulima wa matunda Mkoani Pwani wametakiwa kulima kisasa  zao la matunda ya aina mbalimbali kwani soko la uhakika la mazao hayo lipo la kutosha.


Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mhandisi Evarist W. Ndikillo wakati alipofanya ziara yake katika kiwanda  cha kuchakata na kusindika

matunda cha Elven Agri Company Ltd kilichopo Mapinga Wilayani Bagamoyo na kiwanda cha kusindika juice cha Sayona kilichopo Mboga Wilayani Bagamoyo.


Aidha Mhe. Ndikilo alieleza kwamba wakulima wengi wanahitaji kulima kwa tija badala ya kupata hasara kwa kukosa masoko, pia alisema kwa kutambua hilo

kuna kila sababu ya kubadilika kwa kuona umuhimu wa kulima matunda yenye ubora na yanayojiuza.


Pia katika kikao cha cha majumuisho kilichofanyika Chalinze alisomewa ripoti ya Wilaya nzima ya Bagamoyo na katika sekta zote kwa ujumla na kutoa rai

juu ya ushirikiano na kukabiliana na changamoto hasa za njaa kwa kuwa na mkakati wa kuhimiza wananchi kulima kufuatana na hali ya hewa. Alihimiza kulima

Korosho kwan kwa sasa kuna soko kubwa la uhitaji wa zao hilo na kuwahimiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Bagamoyo na Chalinze kupitia Idara ya Kilimo kuotesha

na kuwa na mashamba darasa ya Korosho na upatikanaji wa miche bora.


Kuhusu swala la Ulinzi na Usalama bado Serikali ya Mkoa inapambana na wahalifu hao hivyo wananchi wawe wavumilivu katika kipindi hiki. Swala la wahamiaji haramu

nalo wanapambana nalo na kuomba taarifa zote za wahamiaji hao zipelekwe katika mamlaka husika ili wanaofanya biashara hiyo wakamatwe.


“Watalaam wa kilimo wa Mkoa ,watendaji wa Halmashauri katika Idara hii, mtoke maofisini  muende kuwapa elimu wakulima hawa ili waweze kujifunza kulima

kisasa ili kuwawezesha kutoa bidhaa ambazo zitawapatia soko na waweze kunufaika kwa jasho lao”. Alisema Mhe. Ndikilo.


Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa alitembalea Kiwanda cha Kusindika Matunda kilichopo Mapinga, Shule ya Sekondari Bagamoyo, Shamba la Mpunga la JICA lililpo Mtoni

na Kiwanda cha Nguzo za Umeme kwa kutumia Cement kilichopo Kidomole.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo