• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

RC.KUNENGE AKERWA NA KUSUASUA UJENZI WA SOKO LA SAMAKI.

Posted on: September 21st, 2021


Mhe Abubakar Kunenge  Septemba, 21 2021 ametembelea na kuweka Jiwe la Msingi  la Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa la Samaki  Bagamoyo na kutorudhishwa na kasi ya ujenzi wa soko hilo

Akikagua soko hilo Kunenge amemtaka Mshauri Mwelekezi wa Mradi M/S  Ardhi University kuhakikisha anaonekana eneo eneo la Mradi ili kusukuma kasi ya ujenzi wa soko hilo ambalo linasubiriwa kwa hamu na wananchi wa Bagamoyo na ukanda wa Pwani kwa ujumla.

"Kama pesa ipo kwanini hatuna Soko? Wananchi wanajiuliza, nendeni tena mezani pitieni upya mjipange upya Mkandarasi, Mshauri mwelekezi na Wataalam. Mkataba mwisho ni tarehe 19 Oktoba, 2021" amesistiza Kunenge.

RC Kunenge amesema kutokumalizika kwa wakati kwa Mradi huo ni kuzorotesha juhudi za Serikali katika kuwahudumia Wananchi kwenye mahitaji yao muhimu.

Kunenge amekitaka Chuo Kikuu Ardhi kupitia upya  mpango wao wa usimamizi wa Mradi huo ili kuhakikisha unamalizika haraka.

 "Ardhi University ni Taasisi kubwa hivyo hampaswi kuiangusha Taasisi hiyo...Tarehe 19 Oktoba, 2021 nahitaji  tunakabidhiwa Soko na akuna kuongezewa muda"...Kama mnashida ya vifaa semeni tunaweza kupata oda Maalumu Viwandani.." aliwaeleza Kunenge.

Ujenzi wa mradi  huu utagharimu shilingi Bilioni 1.5,  unajengwa na Mkandarasi  PACHA CONSTRUCTION CO.LTD lengo la mradi huu ni kuboresha Miundombinu ya Soko la Samaki kwa ajili ya kuongeza  ukusanyaji wa mapato, kuhifadhi Mazingira kwa kukuanga samaki kwa kutumia Nishati  ya Gesi na kuiwezesha jamii kupata Kipato na kupata lishe bora inayotokana na Samaki wakati wote.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo