• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

RUKSA KUTUMIA MUUNDO MPYA.

Posted on: May 19th, 2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Mhe Mohamedi Usinga akizungumza kwa niaba ya Madiwani wote wa Halmashauri ya Bagamoyo wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani amasema kuwa Baraza la Madiwani limeridhia kuanza kutumia muundo mpya wa Halmashauri

Mhe Usinga ameyasema hayo wakati wa kikao hicho cha Baraza la Madiwani kilichoketi tarehe 19-5-2022 katika ukumbi wa mikutano Tasuba Bagamoyo na kusema kuwaM wote wameriidhia kuanza kutumika kwa muundo mpya katika Halmashauri ya Bagamoyo

“naomba nimuelekeze Mkurugenzi Mtendaji kuwa kwa kuwa sio siri kuhusu muundo huo mpya basi  uwekwe wazi katika ofisi zote za Umma wawe na taarifa za muundo mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo”amesema Mwenyekiti wa Halmashauri

Aidha Mhe Mohamed Usinga ametanabaisha kuwa Baraza limewathibitisha watumishi wawili kazini na kuwapandisha vyeo watumishi ishirini na watano(25) wa Halmashauri ya Bagamoyo huku pia Baraza hilo likiridhia kubadilishwa kwa kada kwa watumishi Wanne(4) wa Halmashauri hiyo.

Sanjari na hayo Mhe Usinga amesema kuwa Baraza limepokea mashauri ya kinizamu kwa watumishi wawili na kusema kuwa mambo hayo bado yapo kwenye Mchakato pindi utakapo itimishwa wananchi watapatiwa taarifa ya kile kilichojadiliwa na waheshimiwa Madiwani.

Katika hatua hiyo pia Mwenyekiti wa Halmashauri ameutaka uongozi wa Hopitali ya Wilaya kutoa maelekezo kwa Walinzi waliopo katika Hospitali hiyo kuhakikisha wanafanya ukaguziwa Magali yanayoingia na kutoka ndani ya Hospitali ya Wilaya ili kuhakikisha kunakuwa na Usalama wa mali za serikali zilizopo Hospitali.

 Pia Mhe Mwenyekiti ametoa pongezi kwa Viongozi wote walioshiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Bagamoyo na kusema kuwa wanasubiri kupata ripoti ya Mwisho kujua wameshika nafasi ya ngapi huku akiamini kuwa wamefanya vizuri na wataendeleza rekodi yao ya kuendelea kuwepo kwenye kumi bora ikiwezekana kushika nafasi ya kwanza Kitaifa.

"Kuelekea tarehe 23 Agusti 2022 Mimi Mwenyekiti wa Halmashauri nawaomba  Wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo kuhakikisha wanajitokeza kuhesabiwa ili kuweza kusaidia kuleta  maendeleo na Mipango ya Taifa tujitokeze kuhesabiwa" Amesema Mhe Usinga.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo