• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

SEMINA KWA WALIMU WA SEKODARI

Posted on: April 6th, 2021

Mwenyekiti wa Huduma za Jamii Kamati ya Elimu,Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mhe  Abdul Mzee  Pyalla amefungua ramsi semina ya kujenga uwezo kwa  walimu wa shule zote za sekondari zilizopo katika Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo na kuwatakia kila la kheri katika semina hiyo ambayo inakuwa ni ya kujenga na kuongeza ujuzi katika ufundishaji kwa walimu wote.

Akizungumza na  wajumbe wote waliohudhulia semina hiyo Mhe Pyalla ambae amefungua semina hiyo kwa niaba ya Mwenyekiti wa Halmashauri amesema walimu watumie semina hiyo kuongeza ujuzi na maarifa ili kuweza kuwasaidia wanafunzi kuweza kupata ufaulu mzuri .

 Pia ametoa pongezi kwa walimu hao kwa kufanya vizuri katika mitihani ya kidato cha pili na cha nne kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwa miaka minne mfululizo na kuwaomba kuongeza juhudi ili kuhakikisha wanaendelea na kasi waliokuwa nayo katika ufundishaji.

  Nae Mkurungenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi Fatuma Latu amewatakia mafunzo mema ambayo yatawapa uwezo mkubwa katika kutoa elimu kwa wanafunzi pia itasaidia kuzidisha ufaulu maradufu japo kuwa kitaifa bagamoyo ndio inaongoza katika ufaulu kwa miaka mine mfululizo

Bi Fatuma amesisitiza kwa walimu hao kuwa makini katika semina hiyo kwani inamanufaa makubwa na kuwatumia vizuri wakufunzi wanao toa mafunzo kwa kipindi chote cha utoaji wa semina hiyo .

‘’Nawapongeza sana walimu wote kwa kazi kubwa mnayofanya kwani mmekuwa mnatumia nguvu kubwa sana ili kuhakikisha wanafunzi wetu wanafanya vizuri na kuendelea kufanya vizuri katika mitihani yote ya kitaifa kama ambavyo mlivyofanya kwa miaka mine mfululizo niwapongeze sana’’alisema Mkurungenzi Mtendaji.

Afisa Elimu Sekondari  Mwalimu Aloyce Kaziyareli amewaomba walimu hao kutumia nafasi walio ipata katika semina hiyo pindi itakapo malizika kutumia muda wao kuwapa elimu walimu wenzao ambao hawajapata bahati ya kuhudhulia semina hiyo.

Sanjari na hayo amewataka walimu wote ambao wanatakiwa kuwepo kwenye mafunzo kuhudhulia kwa siku zote  mpaka pale semina itakapo malizika pia amewapongeza walimu hao kwa kuendelea kuifanya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuwa namba moja katika mitihani ya kidato cha pili na cha nne kwa miaka minne mfululizo.  

Lengo la semina hiyo ni utekelezaji wa  mpango wa serikali wa kuwawezesha walimu kukuza taaluma zao ili kuongeza tija katika utoaji wa elimu uwezo wa utendaji kazi kwa walimu wote,semina hiyo itadumu kwa siku tatu inayoendelea katika shule ya sekondari ya Bagamoyo.




Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo