• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

SERIKALI YATOA PIKIPIKI 11 KUBORESHA SEKTA YA ELIMU BAGAMOYO

Posted on: October 5th, 2018


Serikali Kuu kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi imetoa pikipiki 11 aina ya Honda kwa waratibu elimu Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ili kuboresha sekta ya Elimu Wilayani humo.

Akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya pikipiki hizo, yaliyofanyika leo tarehe 05 Oktoba, 2018 katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainab Kawawa amewataka waratibu elimu Kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, kuhakikisha wanazitumia pikipiki walizopatiwa kuhakikisha wanainua kiwango cha ufaulu wa Wanafunzi Wilayani humo kwa kuongeza ufuatiliaji na kutia msukumo zaidi wa masuala ya elimu katika Kata zao.

 “Sitegemei kukuta pikipiki hizi zinatumika kufanyia biashara ya boda boda ama kutumika kwa namna yoyote tofauti na malengo ya Serikali ya kuwapatia vyombo hivi vya usafiri. Nategemea mkazitumie Pikipiki hizi kwa uadilifu, kwani mmeaminiwa na kupewa dhamana kubwa ya kuhakikisha mnaboresha na kuinua kiwango cha ufaulu kwa kuongeza nguvu ya ufuatiliaji masuala ya elimu katika Kata zenu” Ansema Mhe. Zainab

Nae Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Alli Alli Issa akizungumza katika makabidhiano hayo ameishukuru Serikali kwa kutoa msaada huo mkubwa wenye lengo la kuhakikisha inapandisha na kuboresha kiwango cha elimu Nchini.

“Hii ni mara ya pili Serikali Kuu inatuwezesha kuwapatia pikipiki waratibu elimu Kata katika Halmashauri yetu, kwa mara ya kwanza jambo hili lilifanyika miaka mitano iliyopita. Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Serikali kuu kupitia Wizara aya Elimu namafunzo ya ufundi kwa msaada huu na Uongozi wa Halmashauri utahakikisha unawasimamia na unawafuatilia waratibu elimu Kata hawa katika utendaji kazi wao baada ya kuwezeshwa vitendea kazi hivi, hususani kuhakikisha wanazifikia shule zinazowahudumia Wanafunzi wenye uhitaji maalumu na Shule zilizo pembezoni” Anasema Mhe. Mwenyekiti.

Akizungumza kwa niaba ya waratibu elimu Kata wa Halamshauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bw. Hashim Issa Mratibu elimu Kata wa Kata ya Nia njema, amesema wamefurahi sana kuwezeshwa vitendea kazi hivyo, watahakikisha wanavitunza na wapo tayari kuvitumia kwa malengo yaliyowekwa na Serikali ili kuinua na kuboresha sekta ya Elimu Wilayani Bagamoyo.




Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo