• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Siku ya Wafanyakazi Duniani

Posted on: May 2nd, 2017

Siku ya Wafanyakazi Duniani

Maazimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa Mkoa wa Pwani yalifanyika Bagamoyo. Maazimisho hayo yalihudhuriwa na

Viongozi mbali mbali wa Mkoa, Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mashirika ya Umma pamoja na Mashirika Binafsi.

Akizingumza wakati wa kutoa hotuba Mkuu wa Mkoa ambaye alikuwa Mgeni rasmi Mh. Mhandisi Evarist W. Ndikilo alisitiza

Mabaraza ya Wafanyakazi yafanye kazi zake kwa kufuata Sheria ili kuepuka migogoro sehemu za kazi.

Pia aligusia swala la Uhamisho wa ghafla usiofuata taratibu kuepukwa kwani ndio chanzo cha kuzalisha madeni kwa Serikali

hivyo akasisitiza taratibu rasmi za uhamisho zifuatwe. Kilio cha Wafanyakazi wa Sekta Binafsi kutopewa mikataba rasmi

alitoa wito wa sekta hizo zifuate taratibu rasmi ili kuepuka migogoro sehemu za kazi.

Katika Risala ya Katibu wa Chama cha Wafanyakazi Mkoa alimwomba Mgeni rasmi alishughulikie swala la Watumishi Kutokupanda

Madaraja na Kubadilishwa Muundo wa Kazi pindi wamalizapo masomo kwani watumishi wengi hubaki daraja la awali hata kama

amemaliza masomo yake.

Katika Sherehe hizo zilihudhuriwa na Katibu Tawala Mkoa Ndugu Zuberi M. Samataba, Mkuu wa Wilaya Bagamoyo Alhaji Majid Mwanga,

Wakurugenzi wa Halmashuri na Taasisi za Umma pamoja na Mashirika Binafsi.

Pia kulikuwapo na ugawaji wa tuzo kwa wafanyakazi bora toka Halmashauri na Taasisi mbalimbali ambapo Mgeni rasmi alitoa

tamko kwa Wakurugenzi endapo zawadi haijakamilika wasiwataje wahusika kwani hapendi kukabidhi zawadi hewa. Wafanyakazi

walioshinda walipewa vyeti na fedha taslimu kulingana na viwango vya taasisi husika.

Maazimisho hayo yalianza kwa Maandamano kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Bagamoyo mpaka Viwanja vya Shule ya Msingi Majengo

kwa kupokelewa na Mgeni Rasmi.

Kauli mbiu ya mwaka huu "Uchumi wa Viwanda uzingatie kulinda Haki, Maslahi na Heshima ya Mfanyakazi"

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo