• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

SIMU ZA MKONONI KUTUMIKA KUTOLEA HUDUMA ZA UGANI BAGAMOYO

Posted on: June 19th, 2020

Wakulima waliojikita katika uzalishaji wa mazao ya kilimo wakitumia njia ya kilimo hai ‘organic farming’, wamepatiwa simu za mkononi 11 ili kurahisisha utoaji huduma za ugani kwa wakulima hao

Wakulima hao wapatao 15 katika Kata za Kiromo na Yombo Wilayani hapa, wamepatiwa msaada huo hapo jana kutoka Wizara ya Kilimo Nchini kupitia mradi wa kilimo hai unaofadhiliwa na Benki ya Dunia

Mratibu wa mazao ya mizizi Wilaya ya Bagamoyo Ndg. Hamza Suleiman akizungumza baada ya makabidhiano hayo amesema simu hizo zimewekewa mfumo maalum unaowawezesha wakulima kupiga picha za mazao yao yakiwa shambani na kutuma picha hizo kwa Maafisa Ugani Wilayani kisha Maafisa ugani kupata fursa ya kuwashauri nini cha kufanya kulingana na uhitaji utakaoonekana kwa wakati huo, lengo likiwa ni kuona mkulima anatumia rasilimali zinazomzunguka katika kuongeza uzalishaji, kuboresha Afya ya jamii, udongo, na viumbe hai vilivyopo kwenye udongo

Anaongeza, “simu hizi pia zitawasaidia wakulima hawa, kutuma picha za mazao waliyovuna kisha Ofisi ya Kilimo Wilaya tunawasaidia kuwatafutia masoko lakini pia simu hizi ni zitawasaidia wakulima wote wanaofanya kilimo hai, katika Kata hizi za Kiromo na Yombo, kwani aliyekabidhiwa simu ana wajibu wa kuhakikisha anawahudumia wakulima wenzake wote katika eneo alilopo na kuwasaidia kutuma changamoto wanazokutana nazo kwa Wataalam wa Wilaya ili wafike kuwasaidia ama kuwasaidia kutatua changamoto hizo kwa njia ya simu pia kama ni tatizo linalohitaji uharaka zaidi”

Baadhi ya wakulima katika Kata za Kiromo na Yombo, wamekuwa wakitekeleza miradi maalum ya kilimo hai kinachowalazimu, kutotumia kabisa mbolea na madawa ya kisasa yenye kemikali ambapo wamejikita kulima mazao ya mihogo, mahindi, mpunga na mboga mboga ambayo yameonesha mafanikio makubwa na kuwaongezea ari ya kuendelea kufanya kilimo hai katika maeneo yao


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo