• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

TAKUKURU YATOA SOMO KWA WAHE. MADIWANI BAGAMOYO

Posted on: September 11th, 2018

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU ) wilayani Bagamoyo ,Pwani ,imeaasa watendaji na madiwani wa halmashauri hiyo ,kuzingatia misingi ya ulipaji posho ,kinyume chake atakaekwenda kinyume atachunguzwa na kuchukuliwa hatua za kisheria.

Aidha imewaasa ,kufuata miiko ya utawala bora na uadilifu katika utoaji wa huduma kwa wananchi pasipo kupenyeza vitendo vya rushwa .

Rai hiyo ilitolewa na kamanda wa TAKUKURU wilayani Bagamoyo, Raymond Katima ,wakati akitoa elimu kuhusiana na maadili na mapambano ya rushwa ndani ya halmashauri katika kikao cha madiwani .

Aliwataka ,kuzingatia misingi ,kanuni na sheria pasipo kudai posho za kulala ama vikao nje ya utaratibu .

“Sio unakuta diwani ,mtendaji yeyote kalala kwa kazi ama shughuli fulani mahali halafu anajitafutia uhalali wa kulipwa posho ,msijipangie kujilipa posho fuateni taratibu na maadili ya kazi ” alisisitiza Katima .

“Rushwa na utawala bora haviwezi kukaa pamoja kwa sababu rushwa ni kipingamizi kikubwa cha utawala bora na maendeleo ya wananchi kwani husababisha kuvunja mipango yenye maslahi kwa wananchi”

“Huchochea ubadhirifu wa mali ya umma na kusababisha watumishi wa umma kukosa uaminifu na uadilifu na kuvunja misingi ya sheria ” alifafanua Katima.

Pamoja na hayo alisema ,kipindi kilichopita walipokea taarifa ya vitendo vya rushwa 70 vilivyohusisha idara ,taasisi na maeneo mbalimbali hivyo ni jukumu la kila mmoja kukemea vitendo vya rushwa katika jamii.

Nae mkurugenzi wa halmashauri ya Bagamoyo, Fatuma Latu alieleza wamepokea vizuri mafunzo hayo kwani amekuwa akitumia nguvu kueleza na kufafanua misingi na kanuni kwa watendaji na madiwani .

Alisema  ,wakati mwingine katika utendaji watu wanaweza kuona mkali ama unawabania hivyo TAKUKURU imefungua njia nyingine ,kwasasa watafuata utaratibu .

Latu ,aliwaomba madiwani hao kushirikiana na watendaji katika kusimamia miradi ya maendeleo ili kuinua uchumi na kuleta maendeleo chanja kwa wanaBagamoyo .

Kwa upande wake diwani wa kata ya Kilomo ,Hassan Wembe alibainisha ,somo hilo ni mrejesho kwani linawakumbusha wajibu wao bila kutenda vitendo vinavyoashiria kuharibu utendaji kazi kutokana na tamaa zinazopindisha sheria .

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo