• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

TANZANIA IPO VIZURI, TUNAJITOSHELEZA UWEKEZAJI SEKTA YA VIWANDA

Posted on: August 18th, 2020


Hayo yamesemwa leo Agosti 18, 2020 na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa alipotembelea kiwanda cha Bagamoyo Sugar Co. Ltd, kilichopo Makurunge Wilayani Bagamoyo kujionea uendelevu wa uwekezaji wa mradi huo ambao Serikali imeshirikiana na Mwekezaji kuutekeleza.

Akiwa kiwandani hapo Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa mbali na kuzunguka kukagua namna utekelezaji wa mradi huo wa shamba la miwa na ujenzi wa kiwanda cha sukari unavyotekelezwa, amezugumzia jinsi Tanzania ilivyojitesheleza hivyo kupelekea kupiga hatua kubwa katika uwekezaji wa sekta ya viwanda.

Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa ametanabaisha kuwa, Serikali ya Awamu ya tano iliamua kuimarisha uchumi wa ndani kwa kuimarisha uwekezaji wa sekta ya viwanda, ambapo matokeo yameshaanza kuonekana kwani sasa Nchi ya Tanzania tumefikia uchumi wa kati, kabla ya malengo ya malengo tuliyojiwekea kufikia kufikia ngazi hiyo ya uchumi wa kati ifikapo Mwaka 2025, lakini Tanzania imefikia uchumi wa kati Mwaka 2020, hii ikiwa imetokana na maboresho makubwa ya mifumo yetu ya kichumi ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa Sekta ya viwanda kwa kukaribisha wawekezaji wa ndani na wa nje kujenga viwanda.

“Maboresho haya makubwa ya mifumo yetu ya kiuchumi kupitia uwekezaji wa sekta ya viwanda yamefanikiwa kwakuwa Tanzania tumejitosheleza kuendesha sekta hii ya viwanda, tuna Amani inayofanya Tanzania kuwa mahali salama pa uwekezaji, tuna za kutosha malighafi zinazotokana na ardhi nzuri tuliyonayo, wataalam wazoefu wa kutosha, miundo mbinu ya barabara, reli, maji na umeme ambayo inaendelea kuboreshwa kila uchao vinaifanya Tanzania kujitosheleza kiuwekezaji wa Sekta ya Viwanda” Amesema Mhe. Majaliwa

Anaongeza, ili Sekta hii ya viwanda iendelee kufanya vizuri ni lazima eneo la malighafi tuliwekee msisitizo, tunajua tuna malighafi za kilimo ambazo zinatumika viwandani, tuna malighafi za madini, maliasili na aina karibu zote za malighafi zinazotumika viwandani Tanzania zinapatikana, hivyo sisi Tanzania ni matajiri kwasababu hizi malighafi zote tunazo na tunaendelea kuwakaribisha wawekezaji wa ndani na wan je kuja kuwekeza Tanzania kwani tunajitosheleza” Amesema Mhe. Majaliwa

Waziri Mkuu amefanya ziara maalum kutembelea kiwanda cha sukari cha Bagamoyo Sugar Company limited kilichopo eneo la Makurunge Wilayani Bagamoyo, kujionea uendelevu wa utekelezaji wa uwekezaji wa kiwanda hicho ambacho kinajengwa baada ya Serikali kuipatia Bakhresa group of companies eneo lenye ukubwa wa hekta 10,000 ili wafanye kilimo cha miwa na kujenga kiwanda cha sukari, uwekezaji utakaogharimu jumla ya Dola Milioni 100, huku Benki ya Wakulima Nchini (TADB)  tayari ikiwa imeshatoa mkopo wa Dola Milioni 06 kusaidia uwekezaji huo, hivyo kuifanya Serikali kuwa mdau mkubwa katika uwekezaji huo ambao utaiondoa Tanzania katika upungufu wa takribani Tani 70,000 za sukari zinazohitajika kwa matumizi Nchini.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo