• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU KUANZA TAREHE 14 FEBRUARI

Posted on: February 10th, 2020


Mafunzo maalum kwa maafisa waandikishaji wa wananchi katika uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, yamefanyika kwa siku mbili Wilayani hapa, kuanzia leo tarehe 10 – 11 Februari, 2020, ambapo yamefunguliwa

Mafunzo haya yamehusisha jumla ya waandikishaji wasaidizi 137 na wasimamizi wa mashine za uandikishaji “BVR” yamelenga kutoa uzoefu juu ya ujazaji wa fomu zote zitakazohusika katika uandikishaji huo, pia mafunzo ya matumizi ya mashine za uandikishaji yaani “BVR”.

Akifungua mafunzo hayo Afisa mwandikishaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi. Fatuma O. Latu, amesema zoezi la uandikishaji Wananchi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo litaanza Ijumaa ya tarehe 14 Februari 2020 na kukamilika Tarehe 20 Februari, 2020 katika vituo mbalimbali vilivyopo katika Kata na Vitongoji Wilayani hapa.

Akaongeza,”nina hakika baadhi yenu mlibahatika kushiriki katika zoezi la uboreshaji wa daftari la orodha ya wapiga kura lililofanyika mwishoni mwa mwaka jana kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa hivyo mna uzoefu katika uratibu na kusimamia utekelezaji wa uandikishaji wa wapiga kura katika daftari la kudumu la wapiga kura.  Ni Imani yangu kuwa kwa kutumia uzoefu mlio nao, mtafanya kazi yenu kwa ufanisi mkubwa, kwa bidii na moyo wa kujituma, ili kufanikisha zoezi hili, pia mtatumia uzoefu wenu mlionao kuwasaidia wenzenu ambao hawakuwahi kushiriki katika zoezi hili ili nao waweze kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa kipindi hiki”

 Aidha, amewanasihi washiriki hao wa mafunzo kuhakikisha wanatunza siri, pia kutunza vifaa vyote vitakavyotumika katika zoezi hilo kwani vimenunuliwa kwa gharama kubwa, na kuzingatia maelekezo yote yatakayotolewa na tume ili yawasaidie katika utekelezaji wa zoezi hilo la uboreshaji wa daftari la wapiga kura.

Akaongeza, napenda kuwahakikishia Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwamba, Serikali ya Wilaya ya Bagamoyo imedhamiria kuhakikisha kuwa zoezi hili linafanyika kwa ufanisi mkubwa na kuomba uwepo ushirikiano mkubwa kati ya watendaji wote katika zoezi hili, ambao ni Serikali, vyama vya siasa, na wadau wengine wote.

Nae Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mbarouk Salum Mbarouk akiwa katika usimamizi wa zoezi hilo, amefika katika mafunzo hayo ili kujionea namna yanavyoendeshwa.

Jaji Mbarouk amesema Zoezi hili la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ni zoezi la Kitaifa na lilizinduliwa rasmi na Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa huko Mkoani Kilimanjaro mnamo Mwezi Julai, 2019.

Pia ametumia fursa hiyo kuwaasa washiriki wa mafunzo hayo kuhakikisha wanalipa zoezi hilo uzito unaostahili na kulifanya kwa umakini mkubwa ili liweze kufanikiwa kwa Asilimia 100.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo