• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI

Posted on: August 1st, 2017

Maonyesho ya sherehe za wakulima na wafugaji Nane Nane ya Kanda ya Mashariki yamezinduliwa leo tarehe 1.08.2017 katika uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere  

Mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi wa sherehe  hizo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa Majaliwa lakini aliwakilishwa na

 Pro.Jumanne Maghembe (MB) Waziri wa Maliasili na Utalii.

Akizungumza  wakati wa uzinduzi huo Mkoani Morogoro Prof. Maghembe alisema lengo la  Serikali ya awamu ya tano ni kuhakikisha ifikapo mwaka 2025 Tanzania inakuwa na

uchumi wa kati na mpaka sasa imebaki miaka nane ili nchi iwe Taifa lenye  uchumi wa Kati na  dhana  hii lazima itekelezwa kupitia kilimo.

Prof Maghembe aliongeza kwa kusema nchi ya viwanda huenda sambamba na nchi ya kilimo kwani viwanda kwa asilimia tisini hutegemea malighafi kutokana na kilimo na 

maligafi za kilimo lazima zizalishwe za kutosha ili taifa  litoke kwenye umaskini kwenda kwenye nchi wa uchumi wa kati.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng.Evarist Ndikilo alimshukuru Prof Maghembe kwa kutumia muda wake na kushiriki maonyesho ya Nanenane kanda ya Mashariki na 

alisema”kanda ya mashariki inakua siku hadi siku katika nyanja za uzalishaji wa mazao ambapo Morogoro inaongoza lakini pia kwa upande wa viwanda Pwani na Dar es salaam

 ina viwanda vya kutosha hivyo hatuna shaka 2020  pato la taifa litaongezeka”

Maonyesho ya sherehe za wakulima na wafugaji Nane Nane ya Kanda ya Mashariki imeshirikisha Mkoa wa Pwani, Morogoro,Dar es salaam,na Tanga na Maonyesho ya mwaka 2017

 yameambatana na kauli mbiu isemayo”Zalisha kwa tija mazao na bidhaa za kilimo,Mifugo na Uvuvi ili kufikia uchumi wa kati”.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo