• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WAENDELEA BAGAMOYO....

Posted on: February 26th, 2025

UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA WAENDELEA BAGAMOYO.

Ikiwa ni siku ya pili ya Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ( MSLAC) inayojiushisha na utoaji wa msaada wa kisheria leo tarehe 26 Februari 2025 imeendelea katika Kata ya Makurunge Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

Mratibu wa Msaada wa Kisheria Bagamoyo Ndg.George Mollel pamoja na jopo la wataalamu wamefika katika Kata ya Makurunge na kuzungukia Kitongoji cha Mkwajuni,shule ya Sekondari Makurunge,Shule ya Msingi Mtoni,ofisi ya kitongoji  cha Kifude pamoja na Kitongoji cha Kitame.


Wataalamu hao wamezungumza na wanafunzi pamoja katika maeneo tofauti huku wakitoa nafasi ya kusikiliza changamoto walizonazo pomoja kutolea majibu changamoto hizo.


Aidha Afisa Ardhi Ndg.John Langas ametolea ufafanuzi wa baadhi ya maswal ya changamoto za ardhi zilizopo kwa baadhi ya wananchi katika Kata hiyo huku pia akitoa wito kwa wananchi hao kusubilia majibu  kwa zile changamoto ambazo   viongozi wanaendelea kuzifanyia kazi 


Pia Afisa wa vizazi na vifo Wilaya ya Bagamoyo Bi Lilian Nassa ametoa wito kwa wananchi ambao bado hawana vyeti vya kuzaliwa kuendelea kufatilia vyeti ili  kuvipata kwani vina umuhimu wake pindi vitakapo hitajika.

Nae Msajili Msaidizi wa Huduma za msaada wa Kisheria Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Ndg.Mohamed Nyange amezungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Mtoni  juu ya haki na wajibu kwa mtoto na maswala ya ukatili wa kijinsia pamoja na athari zake.

Kampeni hiyo iliyozinduliwa Kimkoa Halmashauri ya Mji wa Kibaha na  Mhe Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge itaendelea tena hapo kesho katika Kata ya Yombo Halmashauri ya Bagamoyo. 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo