• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

VIFAA VYA UCHUGUZI WA DAMU VYAITAJIKA.

Posted on: April 10th, 2021

Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo iliopo Mkoa wa Pwani inauhitaji wa vifaa maalumu vinavyotumika kufanyia uchunguzi wa wingi wa damu (Cuveit Hb 201) kwajili ya vituo maalumu vya wagonjwa wa siko seli Wilayani hapo.

Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo Dk. Lunango Mwakipasile pamoja na Mratibu wa Magonjwa yasiyoambukizwa  wa Wilaya hiyo Bi. Rehema Kingu walipo zungumza kwenye jukwaa la Mashujaa wa siko seli.

Dk.Mwakipasile ameeleza kuwa Hospitali hiyo ina mashine kwajili ya uchunguzi huo, hata hivyo vifaa hivyo  (Cuveit Hb201) vinaitajika  kwakuwa hutumika sambamba na mashine zilizopo ili kufanikisha  uchunguzi huo.

“Mashine ipo ,lakini changamoto ni vifaa hivi ambavyo seti moja inauzwa 160,000 MSD (Bohari kuu ya dawa)

“Sasa ukiwa na wagonjwa 50 unaitaji Sh.4,000 kwa kifaa kimoja cha kila Mgonjwa mmoja, hapa kliniki wanahudhuria wagonjwa 145 ni idadi kubwa, ndio maana tunawaalika wadau waje tushirikiane nao ili tuzidi kutoa huduma bora kwa Wagonjwa hawa” amesema  Dk. Mwakipasile.

Aidha Dk. Mwakipasile amesema bado kuna wagonjwa wengi waliopo majumbani kwa maana hiyo Jamii inatakiwa ipewe Elimu,ili wagonjwa  waweze kutambulika na kupatiwa matibabu mara baada ya kutambulika.

Kadharika Bi. Rehema Kingu ambae ni mratibu wa magonjwa yasio ambukizwa wa Hospitali hiyo amesema Kliniki ya Siko Seli ndani ya Wilaya hiyo imeanzishwa August 2020  kwa kushirikiana na kitengo cha Siko Seli , Chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).

“Kabla ya kuanzisha kitengo iki tuliona kuna changamoto kubwa ya Elimu,uelewa ni mdogo kwenye jamii juu ya ugonjwa huu

”Bagamoyo ni miongoni mwa halmashauri iliopo za pwani, na sisi tumebahatika kuwa wa kwanza kufungua kliniki hii, tunatoa wito kwa wadau na jamii wazidi kushirikiana nasi

“Pia tunaitaji wafadhili ili tuweze kwenda  kwenye jamii kuelimisha ilikuondoa Imani potofu iliopo juu ya magajwa yasio ambukizwa ikiwemo Siko Seli”Amesema Bi.Rehema

Wagonjwa wa Siko Seli upungukiwa damu mara kwa mara hivyo uongozi wa Hospitali hiyo umeomba wadau mbalimbali kujitokeza kujitolea kuchangia damu pamoja na ujenzi wa jengo maalumu  kwajili ya kutolea huduma ya kliniki kwa wagonjwa hao.

Mwanzilishi wa Jumuiya ya Wagonjwa wanao ishi na Siko seli Tanzania Arafa Said amesema lengo la jukwaa hilo ni kufikisha elimu sahihi kwa jamii juu ya ugojwa huo.

Tamasha la vijana ni maalumu kwajili ya kukuza uelewa mpana juu ya ugonjwa wa siko seli pia ni muhimu kutoa elimu hiyo ili kuendelea kuwa mashujaa ambao wanaishi kwa matumain kama ilivyo kwa watu wengine” amesema Arafa

Ugonjwa wa siko seli ni ugojwa wa kurithi unaosababisha mabadiloko yasiyo ya kawaida katika chembechembe nyekundu za damu,pia mtu hawezi kupata ugojwa wa siko seli kwa kuambukizwa kwa njia yeyote isipokuwa kwa kurithi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo