• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI AWAMU YA PILI VYAANZA KUTOLEWA BAGAMOYO

Posted on: May 26th, 2020


Vitambulisho maalum vya wajasiriamali tayari vinapatikana katika Ofisi za Biashara zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo baada ya Bagamoyo kupokea mgao wa Vitambulisho hivyo kutoka Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Pwani.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa, ameyasema hayo wakati wa makabidhiano wa vitambulisho hivyo baina yake na Wakurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na Chalinze amesisitiza uaminifu na ushirikiano baina ya watendaji wanaohusika na katika zoezi hilo ili kukamilisha zoezi hilo kwa ufanisi na kwa wakati.

Makabidhiano hayo yamefanyika kwa kusaini mkataba maalum baina ya Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya ya Bagamoyo na Chalinze.

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi. Fatuma O. Latu akizungumza mara baada ya makabidhiano hayo ameahidi kusimamia na kutekeleza zoezi hilo maalum kwa kadiri ya maelekezo ya Mhe. Mkuu wa Wilaya ili kutekeleza zoezi hilo kwa wakati na kwa kuzingatia sifa za Wajasiriamali wadogo wanaostahili kupatiwa vitambulisho hivyo ambavyo vinamuhitaji mjasiriamlai mdogo kuwa na biashara isiyozidi mtaji wa Shilingi 4,000,000/- ili kupata sifa ya kupatiwa kitambulisho cha Mjasiriamali.

Serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Mhe. Rais John Joseph Pombe Magufuli, ilianzisha utaratibu wa kuwapatia wajasiariamali wadogo vitambulisho maalum vya wajasiriamali kwa bei ya Shilingi 20,000/-, ambapo katika awamu ya kwanza Mwezi Desemba, 2018 Serikali ilitoa jumla ya Vitambulisho 670,000 ambapo kila Mkuu wa Mkoa Nchini alipewa vitambulisho 25, 000 avigawe kwa wafanyabiashara wadogo katika Mikoa yao.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo