• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA WAPIGWA MSASA BAGAMOYO

Posted on: October 7th, 2019


Mafunzo maalum kwa waandikishaji wapiga kura katika daftari la orodha ya wapiga kura katika Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo yamefunguliwa rasmi na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bi. Fatuma O. Latu ambapo itafanyika kwa siku tatu, kuanzia tarehe 4 – 6 Oktoba, 2019.

Mafunzo hayo yenye lengo la kuwanoa waandikishaji imefanyika katika ukumbi wa Tasuba Wilayani hapa na yamehudhuriwa na waandikishaji wapatao 396 watakaoandikisha wapiga kura katika Vitongoji 167 vya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.

Msimamizi Mkuu wa uchaguzi katika halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo, Bw. Malboard Kapinga ametumia mafunzo hayo kuwaeleza waandikishaji juu ya taratibu za uandikishaji, huku akiwaasa kuzizingatia na kuzifuata ili kuepusha migongano isiyo ya lazima wakati wa zoezi la uandikishaji.

Mafunzo hayo pia yamewapa fursa waandikishaji kujua namna ya kukabiliana na vitendo vya rushwa katika zoezi la uandikishaji wapiga kura, ambapo Afisa TAKUKURU Wilayani hapa Bi. Neema Runana amewataka wandikishaji kutoa taarifa kwa mamlaka husika pindi watakapokutana na Mazingira ya utoaji au upokeaji rushwa katika zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la orodha ya wapiga kura.

Nae Afisa uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bi. Teesya Urasa ameeleza kuwa zoezi hilo litafanyika kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 8 - 14 oktoba 2019 kuanzia saa 2 Asubuhi hadi 12 Jioni.

Akaongeza, “wandikishaji mnatakiwa mfuate sheria na maadili yanayo waongoza kama vile kutopiga kampeni, kuvaa mavazi yenye kuashiria chama chochote cha siasa na kutotoa orodha ya waliojiandikisha kabla ya siku iliyopangwa”

Mafunzo hayo yametolewa kwa waandikishaji wapiga kura katika daftari la orodha ya wapiga kura, na yalijikita katika kuwajengea uwezo Waandikishaji juu ya Malengo ya Uandikishaji ,aina ya Madaftari ya orodha ya wapiga kura, sifa za anayejiandikisha, muda wa kujiandikisha,  vifaa vitakavyotumika,  wahusika katika chumba cha kujiandikisha, muda wa kujiandikisha na kazi za waandikishaji.




Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo