• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WADHIBITI UBORA ELIMU ACHENI LUGHA ZA VITISHO KWA WATEJA: DKT AKWILAPO

Posted on: October 5th, 2020

Katibu Mkuu Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia dkt. Leonard Akwilapo amewataka wadhibiti ubora wa shule nchini kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuacha lugha za vitisho kwa wateja


Dkt. akwilapo ameyasema hayo katika ufunguzi wa mafunzo maalum kwa wathibiti wakuu ubora wa Shule kanda na Wilaya zote Tanzania bara, wapatao 217, yanayofanyika wilayani bagamoyo kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 05 – 09 Oktoba, 2020 yakiwa na lengo la kuwaongezea ujuzi wa masuala mbalimbali ya utendaji katika utumishi wa umma na kuwasaidia wathibiti wakuu ubora wa shule kuondoa ama kurekebisha changamoto za kiutendaji ambazo zimekuwa zikiripotiwa kwa uongozi wa wizara mara kwa mara katika maeneo wanayosimamia.


“Wizara imekuwa ikipokea malalamiko kutoka kwa wadau na watoaji wa elimu kuhusu mwenendo usiofaa wa baadhi ya Wathibiti Ubora wa Shule kutoa lugha za vitisho kwa wateja na wakati mwingine kuwaomba Rushwa ili kufanikisha usajili wa Shule au Vyuo vyao na hii ni kukiuka maadili ya utendaji katika utumishi wa umma kwa kutozingatia sheria, kanuni na maadili ya utendaji katika utumishi wa Umma na wadhibiti ubora wa elimu wanaofanya vitendo hivi waache mara moja kwani taarifa zako zitakapotufikia hatutasita kukuchukulia hatua za kinidhamu” Amesema Dkt. Akwilapo.


Nae Mshiriki wa Mafunzo hayo Bi.  Tatu Tamizi Kutoka Wilaya ya Gairo akizungumza kwa niaba ya Washiriki wenzake wa mafunzo hayo amesema, wanashukuru sana Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuwaandalia mafunzo hayo ambayo wanaamini yatawaongezea weledi na ufanisi katika utendaji kazi wao na hivyo kuboresha utoaji huduma za elimu Nchini.




Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo