• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WAJIBIKENI IPASAVYO KATIKA NYAZFA ZENU -AFISA ELIMU SEKONDARI...

Posted on: March 11th, 2025

WAJIBIKENI IPASAVYO KATIKA NYAZFA ZENU -AFISA ELIMU SEKONDARI..


Afisa Elimu Sekondari Mwl. Aloyce Kaziyaleli kwa Niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ametoa wito kwa viongozi wa chama cha watu wenye ulemavu kuwajibika ipasavyo pindi wanapokuwa katika nyazfa zao.

Hayo ameyasema wakati wa kufungua Hafla fupi ya kuapisha viongozi wa chama hicho katika ukumbi mdogo wa mikutano ofisi za uvuvi Halmashauri  ya Bagamoyo.

Aidha Mwl Aloyce amewataka viongozi hao kuwasadia wenzao pamoja na kuwaonesha njia za kupitia pindi wanapo patwa na changamoto ili waweze kuzitatua na kupata ufumbuzi.

Vilevile ametoa rai kwa viongozi hao kutafuta  shughuli za kuwaingizia  kipato huku pia akishauri kutengeneza vikundi vya ujasiliamali ili kuweza pia kupata mikopo ya Halmashauri ambayo inahusisha makundi yote ya vijana,wanawake na watu wenye ulemavu.

Nae Mwanasheria wa Halmashauri Bi Jackline Kavishe  aliwaapisha viongozi hao wa chama cha watu wenye ulemavu  na kuwataka  kuhakikisha wanafata sheria kanuni na taratibu kama kiapo kinavyosema pamoja na kutunza siri kama viongozi.

Musa selemani Doto Katibu Mkuu chama hicho  ametoa shukrani kwa viongozi wote waliohudhulia katika uapisho huo wa viongozi huku pia akiomba kwa mwanasheria kuwasaidia kuwapatia elimu  ya msaada  wa kisheria .

Afisa Ustawi wa Jamii Hubwa Yasiin ametoa wito kwa watu wote wenye ulemavu kutokaa ndani badala yake kwenda kutafursa mbalimbali za kujiingizia kipato kama kupata mipoko ya asilimia 10 lakin pia kupewa elimu ya usajiliamali  ambayo itakusaidia kuitumia katika kuendeleza biashara mbalimbali.

Pia  ametoa angalizo kuwa mikopo ya Halmashauri haiwezi kukopesha watu wote kwa wakati mmoja bali  ni watu wachache lakini pia wanatakiwa kurejesha mikopo hiyo ili kutoa fursa kwa wengine kupata mikopo hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo