• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WAJIBIKENI KWA KUFUATA SHERIA, TARATIBU, KANUNI NA MONGOZO YA UTUMISHI WA UMMA: DAS BAGAMOYO

Posted on: March 13th, 2020

Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, Bi. Kasilda Mgeni, amewaasa Maafisa Tarafa na Maafisa Watendaji wa Kata Wilayani humo kuhakikisha wanawatumikia wananchi kwa kuzingatia Sheria, kanuni, miongozo na taratibu za Serikali ili kupunguza kama si kumaliza kabisa kero na malalamiko ya Wananchi katika Tarafa na Kata za Wilaya hiyo.


Bi. Kasilda ameyasema hayo kwenye kikao kazi maalum kati yake na Maafisa hao ambacho hufanyika mara moja katika kila robo mwaka, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea ili kukutana na Maafisa Tarafa na maafisa watendaji kata wa Wilaya ya Bagamoyo ili kuwakumbusha wajibu wao kwa Serikali na kwa Wananchi lakini pia kusikiliza changamoto wanazokutana nazo na kuzitafutia ufumbuzi ili kuboresha utendaji kazi wa Serikali katika Wilaya ya Bagamoyo, ikizingatiwa kwamba Maafisa hao ndio wanaohusika na kuwahudumia Wananchi moja kwa moja.


“Mara zote hakikisheni kuwa mnawajibika kwa umma kwa kutoa huduma bora kwa Wananchi, zingatieni utii kwa Serikali, bidii ya kazi, Udilifu na kufuata Sheria,toeni huduma kwa Wananchi bila upendeleo, pia msisahau kuzingatia matumizi sahihi ya taarifa za Serikali” Amesema Bi. Kasilda


Vile vile, ametumia fursa hiyo kusisitiza usimamizi sahihi wa fedha za Serikali zinazopelekwa katika Kata wanazosimamia, pia kusimamia kwa umakini utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali katika Kata zao na kuisaidia Serikali kukusanya mapato katika vyanzo vilivyopo katika Kata zao na kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanaziba mianya ya uvujaji wa mapato ya Halmashauri yanayokusanywa katika Kata wanazosimamia.


Akizungumza baada ya mafunzo hayo, Mtendaji wa Kata ya Nia Njema Bw. Cezary Madasha amesema, kikao kazi hicho kitaleta tija kubwa kwa kuonesha matokeo chanya katika yote waliyofundishwa na kukumbushwa na kwamba watashirikiana kuhakikisha wanaisaidia Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi katika kuiletea Bagamoyo maendeleo Kwa kuhakikisha utoaji wa huduma bora kwa Wananchi wa Bagamoyo.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo