• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WANANCHI WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UFUGAJI WA MAJONGOO BAHARI.

Posted on: August 3rd, 2023

Na Nurdin Ndimbe, Morogoro

Wananchi wameshauriwa kuchangamkia fursa zilipo katika Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo katika ufugaji wa majongoo Bahari ili kujiongezea kipato pamoja na kupunguza changomoto za ajira. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Sehemu ya  Uvuvi katika Divesheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Wilaya BagamoyoBw Kiboko Kiondo Godson wakati akizungumza na wananchi waliotembelea banda la Halmashauri ya Bagamoyo katika maonesho ya Wakulima Nanenane leo tarehe 3 

Agosti, 2023 Manispaa ya Morogoro.

 Aliwafahamisha wananchi hawo kuwa, kilimo cha majongoo bahari hufanyika kwa kutengeneza vizimba baharini vyenye ukubwa mita za mraba kuannzia 40 na kuendele ambako majongoo hufugwa na kuanza kuvunwa kuanzia miezi sita na kuendelea. Kilimo hiki kwa sasa kina faida kubwa sana kwani mahitaji ni makubwa kuliko uzalishaji, mathalani kilo moja ya majongoo yaliyokaushwa kwa bei ya soko ni si chini Ths 180,000/-. “Tuna mahitaji makubwa sana kuliko uwezo wetu hivyo nawasihii wananchi kuchanagamkia furas za ufugaji wa majongoo na viumbe bahari, na soko kubwa lipo hasa Asia hasa wenzetu kule China”. Alisistiza Bw Kiondo.

 Aidha alieleza mikakati ya Halmashauri ya Bagamoyo katika kuwawezesha wananchi kuanza ufuguaji wa majongo bahari ni pamoja na kuwaelimisha wananchi namna bora ya ufugaji wa majongoo pampja na kuwahamasiha kuunda vikundi vya ufugaji wa majongoo baharii kwani kwa sasa kuna vikundi vitatu tu vinavyojishughulisha na ufugaji huu. Kasi ya kuunda vikundi bado ni ndogo. 

tunawashauri waanzishe fursa zipo na kubwa kwani ufugaji wa majongoo hauna gharama kubwa unaweza kufuga wakati ukiendelea na sguhuli zingine”. Alisisitiza

 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo ni moja ya Halmashauri inayozalisha majongoo bahari kama zao la biashara na kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 zaidi ya tani 1200 ziliuzwa nje ya Nchi hasa Uchina.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo