• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

Posted on: March 17th, 2025


WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX..



 Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Mhe Shaibu Ndemanga ametoa wito kwa Wataalamu wa Afya kutoa elimu kwa wananchi  kuhusu  Ugonjwa wa Mpox pamoja na  namna ya kujilinda na ugonjwa huo.


Mhe Ndemanga ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na Wataalamu wa Afya kamati ya Usalama wa Wilaya, Viongozi wa Dini na Wataalamu kutoka Halmashauri  ofisini kwake tarehe 17 Marchi 2025.



Mhe Mkuu wa Wilaya amesema kuwa wataalamu watumie kipindi hichi kutoa elimu ya ugonjwa huo  dalili zake,madhara yake,pamoja na namna ya kujikinga na ugonjwa huo huku akisisitiza kuandaa vipeperushi vitakavyo saidia kufika ujumbe kwa urahisi.


Pia Mhe Ndemanga amewasihi viongozi wa Dini zote Kuzungumza na waumini kwa kuwapatia elimu  pindi wanapokuwa katika vipindi mbalimbali vya ibada pamoja na kuwapatia vipeperushi ili waweze kujua namna nzuri ya kujilinda  na ugonjwa huo.



Aidha Mhe Mkuu wa Wilaya amewataka maafisa Afya kuhakikisha wanapita kukagua maeneo yote ya Biashara,mikusanyiko ya watu,standi za magari ,vijiwe vya bodaboda kama wamechukua tahadhali zote za kujikinga na ugonjwa kwa kuweka ndoo za maji tiririka na sabuni. 



Mkuu wa Wikaya pia Amemtaka Mkurugenzi Mtendaji  kulichukulia jambo hili kama dhalura kwa kutenga fedha ili kusaidia kuhakikisha wanachi wanapata huduma pindi wanapopatwa na ugonjwa huu pamoja na kupitisha matangazo kwenye mitaa mbalimbali wananchi wafahamu juu ya ugonjwa huo.


Vile vile amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya kuweka mazingira Rafiki kwa Watumishi wa Afya  wakati wa kutoa huduma ili kuhakisha na wao wanakuwa katika hali ya usalama na kuepuka kupata maambukizi ya  ugonjwa huu.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo