• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WATAALAM WAASWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI ILI KUONDOA HOJA ZA UKAGUZI

Posted on: July 26th, 2018


Katibu Tawala Mkoa wa Pwani Ndg. Zuberi Samataba amewaasa wataalam wa Halmashauri kufanya kazi kwa kushirikiana na Mkurugenzi na Waheshimiwa Madiwani ili kuhakikisha wanapunguza kama si kuziondoa kabisa hoja za ukaguzi katika Halmashauri hiyo.
Bw. Samataba ameyasema hayo mapema jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha baraza la waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kilichoketi kujadili taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali kwa Mwaka wa fedha 2016/2017.
“Nawapongeza sana Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kupata hati safi yaani (unqualified audit Opinion) lakini niwashauri Wataalam wa Halmashauri hususani Mweka hazina na Afisa manunuzi, kufanya kazi zenu vizuri na kuhakikisha mnashauri vizuri Mkurugenzi, katika masuala ya fedha ili kuepuka hoja za ukaguzi zisizo za lazima” Amesema Bw. Samataba.
Akaongeza, ni vyema wataalam mkaweka utaratibu wa kuandaa taarifa zenu vizuri, kwa usahihi, kwa umakini mkubwa na zinapohitajika basi ziwasilishwe kwa wakati zikiwa na vielelezo vyake, na kutofanya hivyo ni kushindwa kuwajibika katika nafasi zenu mlizoaminiwa na Serikali, na kama kuna mtaalam anayeona hawezi kufanya kazi zake vizuri basi awapishe wengine wenye uwezo wa kufanya kazi hizo bila kuiletea Halmashauri hoja za ukaguzi zisizo za lazima.
Nae Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mkoa wa Pwani,  Bw. Eliuther Masombola akizungumza katika kikao hicho amesema, ukaguzi wa mwaka 2016/2017 ulifanyika kwa mujibu wa viwango vya kimataifa ambapo walitumia sampuli na matokeo ya ukaguzi yalitokana na vielelezo na takwimu zilizowasilishwa kwa Mkaguzi Mkuu wa Serikali.
Pia  Bw. Masombola ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa hesabu safi za Mwaka 2016/2017, lakini pia akawaasa Wataalam wa Halmashauri, kujitahidi kuzingatia maoni yaliyotolewa na kamati ya Ukaguzi ili kuziondoa hoja hizo.
Wakati  huo huo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Alli Alli Issa kupitia kikao hicho cha baraza la madiwani amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, pamoja na timu yake ya wataalam kwa hesabu safi za Mwaka 2016/2017 na kuwaasa kuendelea kufanya kazi vizuri na kwa umakini mkubwa ili Mwaka ujao pia wabaki na hati safi ya ukaguzi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • WAPENI ELIMU WANANCHI KUHUSU UGOJWA WA MPOX...

    March 17, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo