• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WATUMISHI NA WANANCHI WAJITOKEZA KUFANYA USAFI WA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI

Posted on: September 29th, 2018

Zoezi la usafi wa mazingira linalofanyika kila kila jumamosi ya mwisho wa Mwezi limefanyika kwa Ufanisi katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ambapo Wananchi na Watuishi wamejitokeza kushiriki zoezi hilo katika maeneo mbalimbali ndani ya Halmashauri.

Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi ni siku iliyotengwa kwa ajili ya zoezi la kufanya usafi wa mazingira kitaifa, na Kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, zoezi hilo limefanyika kuanzia saa 12:00 Asubuhi hadi saa 04:00 Asubuhi ya leo Tarehe 29 Septemba, 2018.

Akizungumza kwa niaba ya Afisa Afya wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Bw. Mohamed Fara anasema chagamoto kubwa katika Siku hii ya Jumamosi ya usafi wa mazingira ni gari la kuzolea taka.

“Tuna changamoto kubwa ya gari la kuzolea taka, kwani mji mzima huu wa Bagamoyo unategemea trekta moja tu kwa ajili ya kusomba taka na kuzipeleka dampo, na kwa siku hii ambayo taka zinakusanywa kwa wingi baada ya Wananchi kutoka na kufanya usafi katika maeneo yao, hususani kwenye mitaro na pembezoni mwa barabara, taka ngumu nyingi zinakusanywa na trekta letu moja tunalotegemea kwa ajili ya kuzoa taka hizo linazidiwa na wingi wa taka zinazotolewa mitaani” Anasema Mohamed

Nae, Afisa Usafi na Mazingira Bw. Moses Mgalla amewashukuru watumishi na Wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya aya Bagamoyo kwa ujumla kwa kutoka mapema na kushiriki kufanya usafi wa mazingira yanayowazunguka, pia ametoa rai kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kufanya usafi kuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku kwani kwa kufanya hivyo wataepuka magonjwa yatokanayo na kuishi katika mazingira machafu kama malaria, kuharisha na magonjwa ya mlipuko kama kipindu pindu.

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo ina jumla ya Kata 11, na siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi zoezi la usafi  wa mazingira husimamiwa na Watendaji wa Kata, vitongoji na Maafisa Afya katika Kata zote 11 za Halmashauri kuhakikisha zoezi hilo linafanyika kwa ufanisi.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo