• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WAZAZI WAONDOLEWA HOFU DAWA ZA KICHOCHO NA MINYOO TUMBO KWA WANAFUNZI

Posted on: May 3rd, 2019


Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, imeendesha zoezi maalum la utoaji dawa kinga kwa ajili ya kinga tiba ya kichocho na minyoo tumbo, kwa watoto wenye umri kati ya miaka 5 – 14.

Zoezi hili limezinduliwa jana katika Uwanja wa Shule ya Msingi Kizuiani iliyopo kata ya Kisutu, ambapo Mgeni rasmi Dkt. Salvio Wikesi aliyemwakilisha Mkuu ya Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa, amewatoa hofu Wananchi, hususani Wazazi juu ya utoaji wa dawa hizo, akisisitiza kwamba, dawa hizo ni kinga tiba na si chanjo kama inavyofahamika na wengi, na akaongeza kuwa dawa hizo ni salama na zimethibitishwa ubora wake na mamlaka zinazohuzika.

“Kumekuwa na dhana potofu kwenye jamii, kuwa dawa hizi si salama, hivyo wazazi kukataa watoto wao wasipewe dawa hizi na wakati mwingine kuwakataza watoto wasifike Shuleni siku ambazo dawa zinatolewa. Nachukua fursa hii kuwaondoa hofu wazazi na Wananchi wote kuwa dawa hizi ni salama na muhimu kwa watoto wetu na wawaruhusu watoto kupatiwa dawa kinga hizi, kwani magonjwa haya yasiyopewa kipaumbele ni hatari na yaweza hata kuhatarisha uhai wa mtoto anapochelewa kupatiwa matibabu yake” Amesema Dkt. Wikesi.

Nae Mratibu wa Kitengo cha Magonjwa yasiyopewa kipaumbele kwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Ndg. Mohamed Farah amesema lengo la utoaji wa dawa kinga hizo Mashuleni ni kutoa kinga na tiba kwa magonjwa ya kichocho na minyoo tumbo kwa Watoto wote wenye umri wa miaka 05-14 waliopo Shuleni na nje ya Shule (nyumbani).

Akaongeza, kwa Mwaka 2018, zoezi hili la utoaji dawa kinga kwa watoto wenye umri wa miaka 05-14 lilifanikiwa kwa 90.2/% na kwa Mwaka huu wanatarajia kupata mafanikio zaidi kwani wamefanya uhamasishaji wa kutosha kwa jamii na kusisitiza kuwa kwa watoto ambao hawako Shuleni, wazazi wawapeleke watoto hao katika vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali ili kupatiwa dawa hizo.

Zoezi hili la utoaji dawa za Minyoo tumbo na Kichocho pia linaendelea katika Vituo vyote vya Afya, Zahanati na Hospitali ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo