• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WAZIRI JAFO AAGIZO MAONESHO YA VIWANDA NA BIASHARA MKOA WA PWANI SASA YATAKUWA YA KITAIFA...

Posted on: December 17th, 2024


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Selemani Jafo ameagiza maonesho ya viwanda na biashara yanayofanyika Mkoani Pwani sasa kuwa maonesho ya Kitaifa na yatasimawiwa na wizara ya viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Mkoa wa Pwani.

Mhe Selemani Jafo ametoa maagizo hayo leo tarehe 17 Desemba 2024  wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo ya nne yanayofanyika kila mwaka kibaha mkoani Pwani huku akisisitiza maonesho hayo yataendelea kufanyika ndani ya mkoa wa Pwani


“Nimuagize Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa sasa maoenesho haya nikiwa Waziri wa Viwanda na Bishara nakuagiza katibu Mkuu wa viwanda na Biashara kuanzia sasa maonesho haya yawe maonesho ya kitaifa yasimamiwe na Wizara ya Viwanda kwa kushirikiana na Mkoa wa Pwani”amesema Mhe Waziri.

Mhe Waziri na Viwanda na Biashara pia ametoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Pamoja na viongozi wote wa Mkoa huo kwa kazi nzuri na bora wanayoendelea kuifanya katika mkoa huo Pamoja na kufanya kazi iliyo bora.

Aidha Mhe Jafo ametumia fursa hiyo kumshukuru Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi kubwa anayoendela kuifanya katika nchi ya Tanzania ambapo toka aingie madarakani kwa awamu hii ya sita kuna ongezeko la viwanda elfu 18 katika nchi ya Tanzania.


Sambamba na hilo pia amewapongeza wananchi wa Mkoa wa Pwani Pamoja na Mikoa Jiarani kwa ukarimu na wema wanaouonesha kwa wawekezaji wanaokuja kuwekeza katika mkoa huo huku akisema ndani ya miaka minne zaidi ya viwanda 131 vimejegwa katika Mkoa huo.


Nae Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Abubakari Kunenge ametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaia Pamoja na Watendaji wote wa Wizara ya Nishati kwa kuendelea kuboresha huduma ya umeme.

Mhe Kunenge amesema kuwa kwa mwaka huu kunategemewa kuwa na ongezeko la viwanda asilimia 30 kutoka kwa wataalamu wa kituo cha uwekezaji huku pia akitoa shukrani kwa Mhe Waziri wa Maji,Waziri wa Ujenzi.pamoja na Waziri wa Tamisemi kwa ushirikiano wao.

Maeonesho ya Viwanda na biashara yameanza hii leo Kibaha mkoani Pwani ambapo ni maonesho ya 4 toka kuanza kwa maonesho hayo kadhalika na hilo sasa maeonesho hayo yatakuwa ni maonesho ya Kitaifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • MCHENGERWA: MAAFISA HABARI HAKIKISHENI WANANCHI WANAPATA HABARI SAHIHI...

    May 23, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA UCHAGUZI AKAGUA MWENENDO WA UANDIKISHAJI...

    May 18, 2025
  • MKUU WA WILAYA AFANYA MAZUNGUMZO NA BODI YA UTALII..

    May 15, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo