• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Waziri Jafo Asisitiza Upnadaji wa Miti.

Posted on: December 30th, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira My.Dkt.Selemani Jafo ameshiriki zoezi la upandaji wa Miti ya Mikoko Wilayani Bagamoyo 

Halmashauri zilizopo ukanda wa pwani hasa katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Pwani na Dar es salaam zimetakiwa kupanda miti ya mikoko katika maeneo ya pembezoni mwa bahari ili kutunza mazingira. 

Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Dkt. Selemani Jafo katika zoezi la upandaji miti ya mikoko liliofanyika katika wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani.

“Upandaji miti ya mikoko ukanda wa Pwani ni muendelezo wa maelekezo ya Serikali katika ukanda huu kwani miti hii inafaida kubwa katika mazingira katika kupambana na hewa ukaa”

Hata hivyo waziri Jafo amewataka wanachi kulinda mazingira ili kukabiliana na ukame huku akiwaonya wanaokata miti ya asili kwa ajili ya mkaa , wanao chepusha mito na kuvunja kingo za mito kuacha mara moja , aidha Jafo amewaomba Wakala wa Misitu Tanzania TFS kusimamia upandaji miti ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira.

Aidha waziri Jafo ameipongeza wilaya ya Bagamoyo kwa kutekeleza maelekezo ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Raisi naWaziri Mkuu katika zoezi la upandaji miti, pia Mhe. Jafo ameyaomba maeneomengine kuendeleza zoezi la upandaji miti ya mikoko kwa kuitunza na kuilinda.

Naye katibu tawala wa Wilaya ya Bagamoyo Bi. Kasilda Mgeni amemshukuru waziri Jafo kwa uzinduzi huo wa upandaji miti ya mikoko katika wilaya yao,Bi. Mgeni amesema kuwa wilayahiyo imekuwa ikiendeleza zoezi la upandaji miti kwani imefanikiwa kupanda miti laki nane themanini elfu(880,000) kwa mwaka wafedha 2021/2022 na mwaka2021/20 22 laki sita sitini na nane efu (660,000), ili kutekeleza maelekezo ya selikali ya upandaji miti milioni 1.5 kwa kila wilaya.

Pia waziri Jafo amewasihi wa Tanzania wote kupanda miti kipindi hiki cha Mvua na kuwataka walimu kusimamia wanafunzi katika ajenda ya upandaji miti ilikutekeleza ajenda ya serikali ya kupanda miti Milioni 276 kila mwaka kwa kila Halmashauri kupanda miti milioni 1.5 kwa Halmashauri 184, ili kulinda mazingira yetu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo