• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

WELEDI, KUJITUMA, UAMINIFU NA KUJITOA NI NGUZO KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Posted on: February 26th, 2019


Hayo yamesemwa na Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt Mary Mwanjelwa katika mkutano maalum na watumishi wa Umma wa halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo uliofanyika siku ya jumamosi tarehe 23 Februari, 2019.

Katika hotuba yake iliyokuwa imesheheni maadili kwa watumishi umma wa Mhe. Mwanjelwa amewataka watumishi wa Umma Nchini kuzingatia sheria, taratibu na kanuni katika utekelezaji wa majukumu yao.

Mhe. Naibu Waziri akatumia fursa hiyo pia kuwaasa watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuwatahadharisha Wakuu wa Idara na Vitengo kuwa endapo watashindwa kuwasimamia watumishi waliochini yao watawajibika kwa mujibu wa sheria maana wamepewa dhamana ya kuwaongoza.

Akizungumza na watumishi ambao ni wasaidizi katika kada mbalimbali,Naibu waziri amewataka kuheshimu na kutekeleza maelekezo ya viongozi wao pasipo kusukumwa kwa mujibu wa sheria za Utumishi wa Umma.

Aidha Naibu Waziri Mhe. Mwanjelwa amewaasa Madiwani kama wasimamizi Wa halmashauri kuhakikisha wanazingatia sheria taratibu na kanuni katika maamuzi mbalimbali wanayoyafanya kwa upande wa watumishi na kutenda haki pasipo uonevu.

Wakati huo huo, Naibu waziri amezungumzia stahiki mbalimbali za watumishi wa Umma na kuwataka waajiri kushughulikia maslahi ya watumishi kwa umakini kwa kuziandaa nyaraka za watumishi kwa usahihi pasipo kukosea kabla ya kuzituma menejimenti ya Utumishi wa Umma.

"Nyaraka zikiandaliwa kwa usahihi menejimenti ya Utumishi wa Umma haichelewi kutekeleza, hivyo waajiri andaeni taratibu za watumishi kwa usahihi ili stahiki zao zisipotee” Amesema Mhe. Mwanjelwa

Mwisho naibu Waziri amewataka watumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuwa wazalendo na waadilifu kwani serikali ya awamu ya tano chini Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ni ya uadilifu na si vinginevyo.

Naibu Waziri Mhe. Mary Mwanjelwa pia ametumia ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kutembelea shughuli za wanufaika wa TASAF katika Kijiji cha Kongo, amabo wana mradi wa kulima shamba la mihogo lenye ukubwa wa ekari 17.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo