• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

ZAIDI YA MAGUNIA 80 YA MKAA YAKAMATWA..

Posted on: February 18th, 2023

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS)Wilaya ya Bagamoyo kanda maalumu Sadani Tarehe 16 februari 2023 wamekamata magunia ya mkaa zaidi ya 80 katika bandari bubu ya iliyopo Lazaba kata ya Makurunge Wilayani Bagamoyo yaliyokuwa yakisafirishwa kuelekea Zanzibar bila kuwepo kwa kibali maalumu cha mamlaka husika.

akizungumza kwa niaba ya Mhifadhi Misitu Wilaya ya Bagamoyo ndg.Ally Sbahani amesema kuwa wamekamata magunia yasiyopungua 80 katika moja ya bandari bubu iliyopo eneo la Lazaba Kata ya Makurunge majira ya saa tano  asubihi katika moja ya majahazi yanayosafilisha mizigo.

“majira ya saa tano asubuhi tulifanikiwa kukamata jahazi moja lenye jina la huda likiwa limebeba gunia za mkaa zisizopungua 80 maeneo ya bandari bubu na kufanikiwa kupata washukiwa wawili’’amesema ndg.Ally Shabani

aidha pia ameongeza kwa kusema kuwa sheria na taratibu zitafuta na kuanza utaratibu wa kutaifisha mzigo mara moja kwa kutumia njia ya mnada kwa mujibu wa sheria pamoja na hayo ofisi inaendelea kutoa onyo kwa wale wote wenye tabia za kutorosha mazao ya mistu kuacha mara moja .

sanjari na hayo nae ndg.Abubakari Iddy Abeid ametoa wito kwa wanachi wote kufuata utaratibu na sheria hivyo kwa wale wote wanaotumia bandari bubu zote zilizopo eneo la Lazaba zipo ndani ya maeneo ya hifadhi ya mikoko na linasilimamiwa kisheria hivyo watu wote waendeleee kuchua tahadhali juu ya vitendo hivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Kwa mujibu wa sheria ya misitu na14 ya mwaka 2002 ni kosa kisheria kuingia  au kufanya shughuli zozote za kibinadamu ndani ya hifadhi bila kibali kutoka katika mamlaka husika.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WEHESHIMIWA MADIWANI WAFANYIWA TAFRIJA YA KUWAAGA....

    June 20, 2025
  • MILIONI 8.13 YATOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU...

    June 20, 2025
  • MKURUGENZI BAGAMOYO ZIARA YA KIKAZI...

    June 13, 2025
  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo