• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

ZIARA

Posted on: March 11th, 2021

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Mohammedi Usinga  amefanya ziara katika maeneo mbalimbali kuweza kuangalia utendaji kazi  pamoja na shughuli za ujenzi wa vyumba vya madarasa vinavyoendelea kujengwa katika kata mbalimbali Wilayani humo.

Ziara hiyo ameifanya 11 machi 2021 na kutembelea katika hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo na kuzungumza na watumishi wa Hospitali hiyo akiwemo Mganga Mkuu wa hospital hiyo huku lengo la kutembelea hapo ili kuona namna utoaji wa kuhuduma ilivyo katika hospitali hiyo.

‘’ leo tunatambua kuwa ni siku ya kazi hivyo lengo kubwa la ujio wangu hapa mimi pamoja na Mkurugenzi Mtendaji ni kutaka kufahamu namna ya utoaji wa huduma kwa wananchi pamoja na gharama za uchangiaji kwa wagojwa’’ alisema Mwenyekiti Usinga

Mhe Usinga pia amesema kuwa ni muhimu kuweka mpango ulio kuwa mzuri kwa wananchi ili kuweza kuwahamasisha  kujiunga na bima ya CHF kwani hamasa imekuwa ni ndogo kwa wananchi huku pia kukiwa na ufinyu wa elimu kwa wananchi hao kuhusu kujiunga na bima hiyo kwa ajili ya matibabu.

 Aidha Mwenyekiti huyo  amewaelekeza watumishi hao kufanya usimamizi mzuri kwa zahanati zote zilizoppo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kuboresha huduma kwa wananchi ili kupunguza kundi kubwa  la watu  ambalo linakuja kupata huduma katika hospitali ya Wilaya waweze kupata huduma katika zahanati zilizopo katika maeneo wanayo ishi.  

 Mbali na hayo Mhe Usinga pia ametembelea shule za sekondari ikiwemo Kiromo,sekondari,Fukayosi sekondari,Matimbwa sekondari  kuangalia ujenzi unao endelea wa vyumba vya madarasa katika shule hizo za sekondari na kuwapongeza hatua walizofikia huku pia akiwaagiza kuongeza nguvu kuweza kumaliza kwa wakati vyumba hivyo vya madarasa ili kuweza kumkabidhi vyumba  vya madarasa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo.

Sanjari na hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bi Fatuma Latu amepongeza juhudi anazozifanya Mwenyekiti wa Halmashauri kwani amekuwa ni kiongozi ambae anahitaji maendeleo katika Wilaya ya Bagamoyo  amekuwa ni kiongozi wa tofauti huku pia akimuomba kuendelea na kasi aliyonayo ili kuweza kufikia malengo waliojiwekea.

Aidha Mkurugenzi huyo amewaomba watumishi wote wamtumie vizuri Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo kwani wakimtumia vizuri watafika mbali sana kimaendeleo.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, ameweka wazi kuwa ameamua kutumia siku ya Jumanne na Alhamisi kutokukaa ofisini badala yake atatumia siku hizo kutembelea maeneo mbali mbali ili kuweza kujua changamoto zilizopo katika wilaya yake na kuweza kuzitatua  huku pia akiwaomba wananchi kuweza kumpatia ushirikiano katika kila hatua.  


Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WEHESHIMIWA MADIWANI WAFANYIWA TAFRIJA YA KUWAAGA....

    June 20, 2025
  • MILIONI 8.13 YATOLEWA KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU...

    June 20, 2025
  • MKURUGENZI BAGAMOYO ZIARA YA KIKAZI...

    June 13, 2025
  • MRATIBU WA MRADI WA MARCOSIO TAFIRI AONGOZA WASHIRIKI WA WARSHA KUTEMBELEA WAVUVI WILAYA YA BAGAMOYO...

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo