• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

ZIARA...

Posted on: July 20th, 2023

Kamati ya wataalamu (CMT) Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo  yafanya ziara katika miradi inayoendelea ndani ya Halmashauri ya Wilaya  Bagamoyo ilikukagua maendeleo ya miradi hiyo juzi tarehe 18 julai 20223. Miradi hiyo ikijumuisha   zahanati ya Tungutungu Mapinga , Shule mpya ya msingi  Kiharaka ,ujenzi wa ukuta Shule ya Msingi Jitegemee, Shule ya Msingi Ukuni , Shule ya Msingi Kiromo , Shule ya sekondari Bagamoyo,  Maeneo ya wazi pamoja  na mradi wa  Hoteli BADECO unaoendelezwa na wawekezaji.    

           Akizungumza katika ziara hiyo, Mratibu wa miradi  ya BOOST Bwana. Joseph  Bureta  alisema lengo kuu la ziara hii nikufanya ukaguzi wa miradi yote inayoendelea ndani ya Halmashauri ili kujua maendeleo na changamoto za miradi. “Ziara hii inalengo la kukagua miradi yote inayoendelea katika Halmashauri yetu ili kujirizisha kuwa kazi zinakwenda vizuri lakini pia kujua changamoto ambazo inakwamisha miradi ilituweze kuzitatua kwa namna moja au nyingine lakini pia kufahamu miradi imefikia wapi na  kwa ile ambayo imekamilika basi tuitambue na kufikisha taarifa katika Halmashauri kwaajili ya kuanza kazi “. Alisema Bwana Bureta .


        Kwa upande wake Mhandisi aliyetembelea miradi hiyo Mhandisi.Respicius Kalushekya aliwapongeza wasimamizi wa miradi hiyo kwa kazi walizo zifanya hadi kufikia hapo, pia  alisema amejiridhishwa na  miradi yote kwani miradi  inaendelea vizuri mingine ikiwa imefikia asilimia 90% mpaka 95 % kukamilika pia miradi mingine imeshaanza kutoa huduma kwa jamii ikiwemo Zahanati ya Tungutungu Mapinga  ,ijapokuwa kuna maboresho madogomadogo ambayo yanahitajika kufanyika katika miradi hiyo.

      Pia Kalushekya  aliwataka  Wahandisi waliokabidhiwa miradi wafanye kazi kwa biidi ,ata ikiwezekena kuongeza masaa ya ufanyaji kazi ili kukamilisha miradi hiyo ndani ya  mda  pia  alihimiza kutengeneza mpango kazi wa kila mradi lengo nikutambua mradi utakamilika ndani ya muda gani.  “Nawasisitiza sana wa Wahandisi katika kujituma na kufanya kazi kwa bidii ilikukamilisha miradi  kwa wakati pia nahitaji kila mradi utengeneze mpango kazi kuanzia sasa nakufikisha katika ofisi za Halmashuri ili tutambue miradi hiyo itakamilika kwa kipindi cha muda gani “ . Alisema Mhandisi Kalushekya .

       Aidha wakizungumza baadhi ya wasimamizi wa miradi hiyo walisema miradi inakabiliwa na uhaba wa fedha ,ucheleweshwaji wa vifaa kama vile mabati, muda mchache wa kazi vitu ambavyo vinasababisha  kukwama kwa miradi kukamilika ndani ya mda  husika .

    “Changamoto ambazo zinatukabili sisi kama mafundi na wasimamizi wa miradi ni uhaba wa kifedha , ucheleweshwaji wa vifaa ikiwemo mabati lakini pia muda tuliopewa ni mdogo zaidi kushinda kazi ambayo inahitajika kufanyika suala hili ndiyo linasababisha ucheleweshaji wa kazi kukamilika kwahiyo wito wetu sisi tunaomba muda uongezwe pamoja na kuwahisha vifaa eneo la kazi “. Walisisitiza  wasimamizi hao wa miradi



Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • BAGAMOYO KUJITANGAZA KIMATAIFA SEKTA YA UTALIII...

    May 10, 2025
  • HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAPANDA MITI 500 ENEO LA MNADA WA ZINGA KUBORESHA MAZINGIRA...

    April 15, 2025
  • TUTAENDELEA KUSIMAMIA KWA DHATI NA HAKI MISINGI YA DEMOKRASIA...

    April 02, 2025
  • ELIMU KUHUSU MPOX YATOLEWA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI...

    March 20, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo