• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Kitengo cha ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
        • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
        • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
        • Ujenzi
        • Kitengo cha TASAF
        • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
        • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • Kitengo cha Huduma za Kisheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Kitengo cha usimamizi wa Usafi na Taka
        • Divisheni ya Viwanda,Biashara na uwekezaji
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
        • Kitengo cha Maliasili na uhifadhi wa Mazingira
        • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
        • Kitengo cha Fedha na Hesabu
        • Kitengo cha usimamizi wa Manunuzi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
        • Divisheni ya utawala na rasilimali watu
    • Baraza la Madiwani
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano ya Habari
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Ujenzi

Idara ya Ujenzi na zimamoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo inaongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Eng.
Simu Na.

Halmasahuri ya Wilaya ya Bagamoyo ina kilometa za Barabara 544.73 kati ya hizo Km 69 ni Barabara za Kitaifa (Trank Road), Km 63 Barabara za mkoa (Reginal Road) na Km. 412.73 ni Barabara za Wilaya ambapo Km 16.8 ni barabara za Lami, Km 36.10 ni barabara za changarawe na Km 359.83 ni barabara za udongo.

Katika mwaka wa fedha 2014/2015, Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo iliidhinishiwa jumla ya  Tshs. 2, 019, 727,200.00,  kupitia mradi wa MIVARF ili kufanya ukarabati wa Barabara za Kisauke – Matipwili kilomita 8.5 imekamilika toka mwezi wa sita 2016, Kiwangwa – Wami/Mambohela kilomita 15 ipo hatua za mwisho za ukamilishaji.

Katika mwaka wa fedha 2015/2016, Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo pia iliidhinishiwa jumla ya  Tshs. 717, 600,000.00, kutoka Mfuko wa barabara kwa ajili ya kazi za matengenezo ya barabara za Wilaya kwa mchanganuo ufuatao:-

     AINA YA MATENGENEZO                                                         GHARAMA (TSHS:)
1. Matengenezo ya kawaida (Routine Maintenance)    km 54.00        118,800,000.00
2. Matengenezo ya sehemu korofi (Spot Improvement) km 35.00      105,000,000.00
3. Matengenezo ya maalumu (Peridic Maintenance)    km 18.50        370,000,000.00
4. Madaraja na Makalavati (Bridge & Culverts)                                     46,320,000.00
5. Usimamizi                                                  77,480,000.00

                                              JUMLA   KUU   717,600,000.00


Aidha, katika mwaka wa fedha 2016/2017, Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo  imeidhinishiwa Jumla ya  Tshs: 795,200,000  kwa ajili ya matengenezo ya Barabara kwa mchanganuo ufuatao:-

     AINA YA MATENGENEZO                                                                         GHARAMA (TSHS:)
1. Matengenezo ya kawaida (Routine Maintenance)     km 64.43                    193,290,000.00
2. Matengenezo ya sehemu korofi (Spot Improvement)  km 19.32                    77,280,000.00
3. Matengenezo ya maalumu (Peridic Maintenance)     km 13.1327                     ,380,000.00
4. Madaraja na Makalavati (Bridge & Culverts)                                                154,620,000.00
5. Road Inventory and Adrics                                                                               5,000,000.00
6. Usimamizi                                                                                                       37,630,000.00
                                                         
                                                  JUMLA  KUU 795,200,000

MAJUKUMU YA IDARA YA UJENZI NA ZIMAMOTO


Kufanya makadirio ya ujenzi wa barabara, madaraja na majengo ya Halmashauri


Kuhakikisha mtandao wa barabara unapata matengenezo kwa wakati na unapitika wakati wote.


Kuandaa bajeti ya matengenezo ya barabara za Halmashauri.


Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi juu ya ujenzi wa aina mbali mbali unaoendelea ndani ya Halmashauri.


Kutoa ushauri kwa watu binafsi juu wa ujenzi mbali mbali unaoendelea ndani ya Halmashauri.


Kuandaa michoro mbali mbali ya majengo, barabara na madaraja.


Kufanya usanifu (designing) ya majengo na madaraja.


Kuandaa mpango wa marekebisho au maboresho ya miundo mbinu iliyochakaa kulingana na bajeti iliyotengwa.


Kusimamia kazi za ujenzi wa majengo, barabara na madaraja zinazotekelezwa na wakandarasi au jamii.

Matangazo

  • RATIBA YA MHE. MKUU WA MKOA KUTEKELEZA TAARIFA YA MHE. WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MAPINGA SIKU.. February 20, 2023
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ALIYEKUWA DIWANI WA FUKUYOSI AZIKWA, WANANCHI WENGI WAFURIKA KUMUAGA

    November 27, 2023
  • TANZIA

    November 26, 2023
  • Tangazo la kuuza viwanja makurunge

    November 14, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA BAGAMOYO LAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA CHA ROBO MWAKA 2023

    November 08, 2023
  • Angalia zote

Video

SERIKALI YAIPONGEZA KAMPUNI YA BAGAMOYO SUGAR| ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO MHE.HALIMA OKASH
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo