• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Ukaguzi wa Ndani

KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI

Kitengo cha Ukaguzi wa ndani kinasimamiwa na Mkuu wa Kitengo hicho Ndg. Paschal Shindai.

Simu Na. 0784 621 560

1.0 Utangulizi:

Kitengo cha Ukaguzi wa ndani ni moja ya vitengo 6 vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo. Kitengo hiki kilianzishwa rasmi na Halmashauri ya Wilaya mnamo mwaka 2002 ili kukidhi matakwa ya Kipengela Na. 45 (1) cha Sheria  ya Fedha Na. 9 ya Serikali za Mitaa, 1982 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2000 ambacho kinahitaji kila Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuanzisha Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kwa ajili ya kuchunguza, kufanya tathimini na kutoa taarifa juu mwenendo wa shughuli za Halmashauri ya Wilaya hususani kuhusiana na suala la udhibiti wa ndani, usimamizi wa vihatarishi vya Mamlaka husika za Serikali za Mitaa pamoja na utekelezaji wa suala la utawala bora, lengo kuu likiwa ni kuisaidia Halmashauri ya Wilaya kuweza kuyafikia malengo yake.

2.0 UONGOZI

Tangu kuanzishwa kwake, kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kimewahi kuongozwa na wakuu wa Kitengo hiki kama ifuatavyo:-

1.Ndg. Abdul MwinyiJuni,                   2001Machi, 2007

2.Ndg. Felister Chuki Masamba.       Aprili, 2007Julai, 2015

3.Ndg. Paschal M. Shindai                Agosti, 2015


3.0 Watumishi wa Kitengo cha Ukaguzi wa ndani:

Kwa mujibu wa Ikama ya watumishi katika kitengo cha ukaguzi wa Ndani, kitengo kinatakiwa kuwa na watumishi 4. 

Tangu kipindi cha mwaka 2016/2017, kitengo kilikuwa na jumla ya watumishi 2, hali inayopelekea kuwa na nakisi ya watumishi 2. Ili kutatua tatizo hili kitengo kimeliwasilisha suala hili kwenye uongozi wa juu wa Halmashauri ya Wilaya ili uone uwezekano wa kuomba kibali cha ajira ya watumishi ili kuziba nafasi hiyo, na hivyo kuongeza ufanisi wa shughuli za kitengo.


Hata hivyo, pamoja na kuwepo kwa nakisi ya watumishi, bado rasilimali ya watumishi waliopo imekuwa ikifanya kazi kwa juhudi na maarifa kwa kiwango cha juu ili kuweza kutekeleza mpango wa ukaguzi wa mwaka ambao umekuwa ukiidhinishwa kila mwaka na Mamlaka husika (Kamati ya Ukaguzi ya Halmashauri ya Wilaya).


Hadi mwisho wa mwaka 2015/2016, watumishi wa kitengo cha ukaguzi wa ndani walikuwa ni 2 ambao ni:-

1.Ndg. Paschal Mathurino Shindai    -  Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa ndani.

2.Ndg. Ferdinand Alexander Sigungu - Mkaguzi wa Ndani.

KAZI NA MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI

Katika kutekeleza majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa ndani, pamoja na mambo mengine, watumishi wa kitengo cha ukaguzi wanao wajibu na mamlaka ya kufanya kazi zifuatazo:-


1.Kuchunguza na kutoa taarifa iwapo mapato ya Halmashauri ya Wilaya yamekusanywa kwa kufuata sheria na taratibu zilizopo.


2.Kuchunguza na kutoa taarifa kama taratibu mbalimbali zilizowekwa ili kuendesha shughuli za Halmashauri ya Wilaya zinafuatwa ipasavyo.


3.Kukagua na kutoa taarifa kuhusu ukweli wa takwimu zilizotolewa kwenye taarifa za fedha  za kila mwezi ambazo huwasilishwa kwenye Mamlaka mbalimbali zikiwemo vikao vya Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango vya H/Wilaya.


4.Kukagua na kutoa taarifa kama matumizi ya fedha za matumizi ya kawaida pamoja na miradi ya maendeleo yamefanywa kwa kuzingatia mipango kazi na Bajeti iliyoidhinishwa  


5.Kuhakiki ufanisi wa mifumo mbalimbali ya utendaji kazi iliyowekwa na Halmashauri ya Wilaya pamoja na Serikali kuu  ili kuhakikisha malengo yaliyokusudiwa yanafikiwa na pia kuhakiki ufanisi wa suala la udhibiti wa ndani (Internal control            system) ili kuepusha hasara yoyote inayoweza kutokea kwa Halmashauri kuhusiana na fedha ilizopokea na zile inazotumia.


6.Kufanya ukaguzi wa hesabu kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika ngazi ya Halmashauri ya Wilaya, Kata na Kijiji ili kubaini kama thamani ya kazi iliyotekelezwa inalingana na kiasi cha fedha zilizolipwa (Value for            money).


7.Kutayarisha ripoti za ukaguzi wa hesabu za mwezi na kila robo mwaka kuhusu mambo yote yaliyobainiwa katika kaguzi mbalimbali  na kuziwasilisha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya na nakala ya ripoti hizo kuwasilishwa        kwenye Mamlaka  mbalimbali zikiwemo Vikao vya Kamati ya Ukaguzi ya H/Wilaya, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali, Ofisi ya Katibu Tawala (M), Mkaguzi wa ndani Mkuu wa Serikali  (IAG), Vikao vya Manejimenti ya H/Wilaya na    Kamati ya Fedha Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya.

 8.  Kufanya shughuli zingine kadri inavyoelekezwa mara kwa mara na Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya Wilaya.

Matangazo

  • ORODHA YA WALIO PATA VIBALI VYA UHAMISHO... January 21, 2023
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA MKOA WA PWANI AFANYA ZIARA MAPINGA..

    January 31, 2023
  • MKUU WA MKOA WA PWANI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA..

    January 30, 2023
  • Waziri Jafo Asisitiza Upnadaji wa Miti.

    December 30, 2022
  • MAADHIMISHO MIAKA 61 YA UHURU YAFANYA WILAYANI BAGAMOYO..

    December 09, 2022
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo