• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Afya

Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo inaongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Bi. Sylivia Mamkwe.

Simu Na. 0716 391 160

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo katika utoaji wa huduma bora za Afya inatekeleza majukumu makuu mawili ambayo ni Afya kinga na Afya tiba. 

 
Wilaya ina jumla ya vituo 25 vya kutolea huduma mbalimbali za afya. Kati ya hizo, hospitali 1 inayomilikiwa na serikali, kituo cha afya 1 kinachomilikiwa na taasisi ya dini, zahanati 15 zinazomilikiwa na serikali, zahanati 4 zinazomilikiwa na watu binafsi, zahanati 3 Parastatal na kliniki  1 ni maternity home .

IDADI YA WATUMISHI
Idara ya afya ina jumla ya watumishi 246 wa kada mbalimbali wakiwemo  daktari wa meno, Madaktari, Madaktari Wasaidizi, Matabibu, Matabibu Wasaidizi,Maafisa Waaguzi, Maafisa  Wauguzi Wasaidizi, Wauguzi, Fundi Sanifu vifaa tiba, Wateknolojia Dawa, Wateknolojia Maabara, Fundi Sanifu umeme, Wahudumu wa Afya, Watunza kumbukumbu,Katibu Mahususi, Walinzi, madereva na kada nyingine. Idara inahitaji jumla ya watumishi 463. Kada zinazohitajika zaidi ni matabibu na wauguzi kwa ajili ya vituo vyote vya kutolea huduma za afya wilayani.

HUDUMA ZA AFYA ZINAZOTOLEWA
Huduma za afya zinazotolewa katika vituo vya kutolea huduma ni pamoja na huduma za Wagonjwa wa nje (OPD) na huduma za Wagonjwa wa ndani au wagonjwa waliolazwa (IPD). Huduma za Wagonjwa na ndani hutolea katika Hospitali ya wilaya na kituo cha Afya cha St.Elizabeth. Huduma zingine zinazotowa ni huduma ya Afya ya mama,baba na mtoto,huduma ya kujifungu huduma ya Afya ya Akili, Kituo cha huduma  na tiba cha  Ukimwi, Kitengo cha macho.  

HUDUMA ZA AFYA KWA MAMA NA MTOTO
Huduma za afya ya Mama na Mtoto zimeendelea kuimarika. Kumekuwa na ongezeko la kiwango cha wajawazito wanaojifungulia katika vituo vya kutolea huduma za afya. Kwa mfano, kwa wastani wanawake wajawazito wanane (8) hadi kumi (10) hujifungua kila siku katika hospitali ya wilaya. Aidha, vifo vya akinamama  wajawazito vimepungua  kutoka 11/100,000 mwaka 2014  8/100,000  Disemba 2015, 6/100,000 hadi kufikia Juni 2017 vifo viliripotiwa 3/100,000. Sambamba na huduma hizi za akinamama wajawazito, hutolewa pia huduma za kuzuia maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto (PMTCT).  Kumekuwa na ongezeko la wenza wanaowasindikiza akina wajawazito kutoka 6304 2016 hadi 8618 2017  akinamama wajawazito wanaopata huduma hizi.  

HUDUMA ZA CHANJO KWA WATOTO
Huduma za chanjo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano (5) hutolewa katika vituo vyote. Kwa mwaka 2016, ukamilifu wa chanjo ulikuwa 92%. Kwa mwaka 2017 ukamilifu wa chanjo ulikuwa 96%. Huduma za ushauri juu ya lishe kwa watoto wadogo pamoja na mambo mengine ya kuzingatia katika makuzi ya mtoto hutolewa kila siku katika kliniki za watoto. Hakuna watoto wenye utapiamlo mkali walioripotiwa  kwa kipindi cha hadi Juni 2016.

HUDUMA ZA VVU na UKIMWI
Huduma za VVU na UKIMWI hutolewa katika hospitali ya wilaya, vituo vya afya na katika baadhi ya zahanati.
Huduma zinazotolewa ni pamoja kutoa dawa za kufubaza virusi vy a Ukimwi, kupima wingi wa damu, CD4,Wingi wa virus kwenye damu(viral load) na ushauri wa lishe kwa wanaotumia dawa. Kwa kipindi cha mwaka 2016, jumla ya wateja 11,563 walipata huduma mbalimbali za VVU na UKIMWI na hadi Juni 2017, jumla ya wateja 18,566 walipata huduma mbalimbali za VVU na UKIMWI.

HUDUMA ZA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA
Ugonjwa wa malaria umeendelea kuongoza katika kusababisha vifo kwa jamii. Idara imeendelea kutoa huduma mbalimbali za kupambana na malaria. Huduma hizo ni pamoja na kugawa vyandarua 250,000 vyenye viatilifu vya muda mrefu. Zoezi hili lilifanyika kwa ushirikiano na Wizara ya Afya. Aidha, idara imendelea kutoa tiba kinga kwa wanawake wajawazito wote wanaohudhuria kliniki. Idara pia imeendelea kuhakikisha kuwa dawa na vitendanishi vinaendelea kuwepo.

UPATIKANAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA
Pamoja na changamoto zilizopo za upatikanaji wa dawa na vitendanishi, kumekuwa na ongezeko upatikanaji wa dawa kwa mwaka 2015/16.
Dawa muhimu na vitendanishi vimekuwepo wakati wote kwa 40%.  Kwa mwaka 2014/15  upatikanaji wa dawa  na vitendanishi kwa wakati wote ulikuwa 35%  

HUDUMA ZA BIMA YA AFYA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)
Huduma kwa wateja wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) pamoja wa wateja wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF hutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya wilayani. Kumekuwa na ongezeko kidogo wa wateja wanaojiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii ambapo hadi kufikia Juni 2017, kumekuwa na ongezeko la wananchi wapya 965 ambayo ni sawa na 6%

HUDUMA ZA AFYA KWA WAZEE:
Dirisha la Wazee.
Hospitali ya wilaya hutoa huduma kwa wazee. Kuna chumba kimoja ambacho kimetengwa kwa ajili ya huduma kwa wazee. kumekuwa na ongezeko la wazee wanaopata huduma mbalimbali katika hospitali ya wilaya kutoka wastani wa wazee 19 kwa siku mwaka 2016 mpaka wastani wa wazee 39 kwa siku mwaka 2017. Aidha, kwa mwaka wa fedha wa 2016/17, idara imepanga kuwatambua na kuwapatia vitambulisho wazee wote kutoka katika kata za Dunda, Magomeni, Kerege na Fukayosi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KATIKA USAILI UCHAGUZI BAGAMOYO DC October 05, 2020
  • MITIHANI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (DARASA LA SABA) KUFANYIKA TAREHE 07-08 OKTOBA, 2020 October 07, 2020
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI JIMBO LA BAGAMOYO October 23, 2020
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TUDUMISHE USAFI KATIKA WILAYA YETU

    January 09, 2021
  • DR DELPHINE MAGERE AAGIZA KUONGEZA UDHIBITI KATIKA USIMAMIZI WA MAPATO

    January 08, 2021
  • ZIARA: MHE NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

    January 07, 2021
  • NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS ( TAMISEMI ) DK FESTO JOHN LUGANGE ATEMBELEA WILAYANI BAYAMOYO PAMOJA NA HOSPITAL YA WILAYA

    January 06, 2021
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo