• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
    • Baraza la Madiwani
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
      • Baraza la Madiwani
        • Historia
        • Dhima na Dira
        • Muundo wa Taasisi
        • UKARIBISHO
        • service one
        • what we do
        • Utalii
        • Kaole Snake Park
        • Kaole Mamba Ranch
        • Completed
        • Elimu
        • Afya
        • Maji
        • Caravan Serai
        • Education
        • Ukaguzi wa Ndani
        • TAARIFA YA O& OD
        • Miradi iliyopendekezwa
        • Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo
        • Maendeleo ya Jamii
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Ujenzi
        • Mfuko wa Jamii
        • Mifugo na Uvuvi
        • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
        • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
        • Idara ya Maji
        • Sheria ndogo za Halmashauri
        • Ardhi na Mipango Miji
        • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
        • Sheria
        • Ufugaji Nyuki
        • Usafishaji na Mazingira
        • Fedha na Biashara
        • Election Unit
        • Ugavi na Manunuzi
        • Maeneo ya Uwekezaji
        • TEHAMA na Uhusiano
        • Kupata Fomu Mbalimbali
        • Madiwani
        • Baraza la Madiwani
        • Orodha ya Wahe.Madiwani
        • Kamati za kudumu za Halmashauri
          • Elimu, Afya na Maji
          • Fedha, Uogozi na Mipango
          • Kamati ya UKIMWI
          • Kamati ya Maadili
          • Uchumi, Ujenzi, Mipango miji na Mazingira
        • Ratiba za Vikao vya Kisheria
        • Ratiba
          • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
          • Ratiba ya Vikao vya Wahe. Madiwani
        • Mpango Mkakati
        • Bajeti ya Halmashauri
        • Mkataba wa huduma kwa Mteja
        • ZABUNI MBALI MBALI ZA UWAKALA
    • Baraza la Madiwani
  • Idara na Vitengo
    • Mifugo na Uvuvi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Works
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Usafi na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Elimu Msingi
    • Kitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Election Unit
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Huduma
    • Elimu
    • Afya
    • Maji
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2018/2019
    • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MPYA
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

Miradi iliyopendekezwa

MIRADI INAYOTARAJIWA KUTEKELEZWA KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

 

A: RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO

Kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 Halmashauri kwa upande wa Ruzuku ya Maendeleo imeidhinishiwa kutumia kutoka Serikali kuu kiasi cha Tshs. 10,973,713,305 kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kama ivyoonekana katika Jedwali lifuatalo:-

NA
MAELEZO
MAPENDEKEZO YA BAJETI 2017/2018

BAJETI IDHINISHWA 2017/2018

1
SEDP
466,336,000
466,336,000
2
FEDHA ZA ELIMU BURE(ELIMU SEKONDARI)
0
453,273,000
3
FEDHA ZA ELIMU BURE(ELIMU MSINGI)
0
249,632,000
4
TASAF
4,268,369,790.40
4,268,369,993
5
ROAD FUND
2,118,417,000
2,118,417,000
6
MFUKO WA JIMBO BAGAMOYO
31,828,912
39,238,000
7
LGCDG
422,990,000
927,275,000
9
DADP/DIDF
294,000,000
294,000,000
10
NRWSSP
935,100,000
319,827,000
11
BASKET FUND
202,220,000
240,740,000
12
LDF-SKIN
3,926,455
10,415,000

JUMLA NDOGO
8,743,188,157.4
9,387,522,993
13
BENKI YA DUNIA (AFYA)
2,906,206,997
616,000,000
14
NTD
0
61,000,000
15
THPS
50,000,000
51,100,908
16
GLOBAL FUND
0
835,300,604
17
EGPATH
0
22,788,800
 
JUMLA NDOGO
2,956,206,997
1,586,190,312
JUMLA KUU
11,699,395,154.4
10,973,713,305
B: MCHANGANUO  WA MIRADI YA MAENDELEO ITOKANAYO NA  MAPATO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018  
NA:
IDARA/SEKTA
MAKISIO
1
Vijiji  20%

523,895,425.60

2
Elimu Msingi

 


Ujenzi wa matundu ya vyoo:-


Shule ya Msingi Nianjema matundu 2

5,113,849.14


 Shule ya Msingi Mlingotini 2

5,113,849.15


Shule ya msingi Kondo 2

5,113,849.15


Shule ya Msingi Mtoni(mpya) matundu 4

10,227,698.3


Shule ya Msingi Mwavi matundu 2

5,113,849.15


Shule ya Msingi Mtakuja matundu 4

10,227,698.3


Shule ya Msingi Mapinga matundu 4

10,227,698.3

 
Jumla ndogo 

51,138,491.49


Kujenga vyumba 10 vya madarasa


Shule ya msingi Jitegemee 2

13,891,079.32


Shule ya msingi Kimele(mpya) 2

13,891,079.32


Shule ya msingi Mfuru(awali) 1 kata ya Yombo

6,945,539.66


Shule ya msingi Kerege 2

13,891,079.32


Shule ya msingi Kizuiani 3

20,836,618.98

 
Jumla ndogo

69,455,396.6


Ukarabati wa vyumba 11 vya madarasa


Shule ya msingi Mataya (awali) 1

810,000


Shule ya msingi  Buma 2

1,700,000


Shule ya msingi Mlingotini 4

2,840,000


Shule ya msingi Kondo 4

2,150,000

 
Jumla ndogo

7,500,000


Ujenzi wa ofisi 2 za walimu


Shule ya msingi  Kidomole 1

5,500,000


Shule ya msingi  Mtoni(mpya) 1

5,500,000

 
Jumla ndogo

11,000,000


Kukamilisha nyumba 2 za walimu


Shule ya msingi  Yombo

5,500,000


Shule ya msingi  Kidomole

5,500,000


Jumla ndogo

11,000,000 

 
Ujenzi wa madarasa 16

 

 
(Nianjema 06, Chambezi 02, Kitopeni 04, Mtoni 02 na Mkwajuni 02)

80,000,000

 
Jumla kuu Elimu msingi

230,000,000

3
Mifugo & Uvuvi

 


Ukarabati wa ofisi ya Idara ya mifugo

1,420,000


Ujenzi wa choo cha ofisi ya mifugo

5,370,000


Kufanya Doria 8  katika fukwe za bahari ili kuzuia uvuvi haramu

1,606,000


Kujenga uzio katika machinjio ya Sanzale

10,000,000


Kujenga tanuri la kukaushia samaki Bagamoyo na Nane Nane

1,500,000


Ununuzi wa Jokofu za kutunza samaki katika soko la dunda

2,100,000


Kujenga vichanja 4 vya kukaushia samaki katika soko la dunda

1,000,000


Kujenga kituo cha kuzalishia samaki wilayani Bagamoyo

1,360,000


Kukarabati msingi wa soko la samaki Dunda

1,592,249


Kujenga mazizi 2 ya wanyama kwenye uwanja wa Nane Nane
           2,000,000

Kukarabati mabwawa 3 kwenye uwanja wa Nane Nane

821,938


Kulipia ada ya uwanja wa Nane Nane kwa mwaka mmoja

2,979,062


Kudhibiti uvamizi wa mifugo katika Kata nne
           4,000,000
 
Jumla kuu Mifugo na Uvuvi

35,749,249

4
Kilimo Umwagiliaji & Ushirika

 


Kufanya tahadhari ya majanga; viwavi jeshi na Elnino ifikapo Juni, 2018.

6,100,000


Kukarabati majengo ya Nane Nane ya kilimo katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Morogoro ifikapo Juni 2018

2,000,000


Kufanya ununuzi wa vifaa vya kupimia mvua kituo 1 cha Shule ya msingi Fukayosi ifikapo Juni 2018.

2,000,000


Kuchangia 5% ya mchango wa Halmashauri katika ujenzi wa soko la mazao lililojengwa Magomeni

3,700,000


Kufanya ukarabati wa Jengo la Ofisi ya Kilimo ifikapo Juni 2018

31,236,000


Kuanzisha shamba darasa 1(0.4 Ha) la uzalishaji  wa vipando bora vya muhogo katika kijij cha Chasimba

          630,000


Kuanzisha shamba darasa 1 lenye ukubwa wa 0.4 Ha ya uzalishaji wa zao la mikunde katika Kata ya Kiromo

          545,000


Kusaidia uwezeshaji wa utayarishaji wa bajeti ya 2018-2019

3,240,000      


Kuanzisha shamba darasa la uzalishaji  na uongezaji thamani wa  viazi Lishe 1  (0.4 Ha). Katika kijiji cha Kongo

549,000

 
Jumla kuu Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

50,000,000

5
Fedha na biashara

 


Ununuzi wa mashine za kukusanyia mapato

10,000,000

 
Jumla ndogo fedha na biashara

10,000,000

6
Usafi na Mazingira 

 


Kuandaa kitalu cha miti

        15,000,000


Ujenzi wa uzio wa dampo la Sanzale

26,000,000


Kuanzisha na kuweka mipaka Dampo la taka Gezaulole

9,000,000


Ukarabati wa vyoo vya umma

3,000,000

 
Jumla Usafi wa Mazingira 

53,000,000

7
Maendeleo ya Jamii

 


Mchango kwa Wanawake 5%

130,973,856


Mchango kwa Vijana 5%

130,973,856

 
Jumla ya Maendeleo ya Jamii

261,947,712

8
TASAF

 


Kuweka madirisha katika jengo la soko la kukaangia samaki dunda

10,800,000.00


Kununua meza za alluminium  za miguu ya chuma kwa ajili ya kuwekea samaki

3,640,000.00


Uwekaji wa mfumo wa kuvunia maji ya mvua katika  soko la kukaangia samaki dunda

2,200,000.00


Kuweka mfumo wa majiko ya gas kwa ajili ya kukaangia samaki  jengo la kukaangia samaki dunda

27,360,000

 
Jumla ya TASAF

44,000,000.00

9
Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji

 


Ununuzi wa gari kwa ajili ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo

124,000,000


Usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo

10,000,000

 
Jumla kuu Idara ya Mipango

134,000,000

 
Idara ya Ujenzi

 


Ukarabati wa paa la soko jipya Bagamoyo mjini

49,093,888

 
Jumla kuu ujenzi

49,093,888

10
Elimu sekondari

 


Kukarabati choo, milango na madirisha  katika ofisi ya Idara ya Elimu Sekondari

5,050,000


Utengenezaji wa seti 52 za samani

4,500,000


Ujenzi wa miundombinu ya umeme

12,829,222


Ununuzi wa samani za wanafunzi seti 66

5,620,778


Ukamilishaji ujenzi wa Choo Bagamoyo Sekondari

12,000,000


Gharama za ujenzi wa Maabara

50,000,000

 
Jumla kuu elimu sekondari

90,000,000

11
Idara ya afya

 


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa zahanati katika mtaa wa Kimalang’ombe ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa zahanati Buma ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa nyumba ya mtumishi zahanati katika zahanati ya Buma  ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kusaidia nguvu za wananchi katika ujenzi wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Kaole ifikapo Juni 2018

10,000,000


Kufanya ukarabati katika jingo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Hospitali ya Wilaya ya kuongeza chumba kwa ajili ya huduma za dharura pamoja na viti/mabenchi ifikapo Juni 2018

35,000,000


Kufanya ukarabati wa choo  kimoja katika ofisi ya  Mganga mkuu wa wilaya ifikapo Juni 2018

5,000,000

 
Jumla ndogo Afya

80,000,000


Cost sharing


Kununua madawa muhimu na vifaa tiba kwa ajili ya hospitali ya wilaya ifikapo Juni, 2018

214,633,240


Kufanya matengenezo ya magari 2 ya hospitali ya wilaya

16,000,000


Kufanya matengenez o ya mashine na vifaa tiba

11,000,000


Kuwezesha uendeshaji wa ofisi katika hospitali ya wilaya

27,000,000


Kufanya safari za rufaa 45 kila robo mwaka kwenda Tumbi/Muhimbili

5,400,000

 
Jumla ndogo

274,033,240


NHIF

 
Kutoa dawa muhimu na Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya

54,000,000


CHF


Kununua vitendanishi, dawa muhimu na vifaa tiba

54,400,000


Kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa vya tiba na ukarabati kwa zahanati zote


Kufanya shughuli za uendeshaji wa zahanati

 
Jumla ndogo CHF

54,400,000

 
DRF

 


Kununua vitendanishi, dawa muhimu na vifaa tiba

64,800,000


Kufanya matengenezo madogo madogo ya vifaa vya tiba na ukarabati kwa zahanati zote


Kufanya shughuli za uendeshaji wa zahanati kwa kulipia billi za maji, umeme na kununua shajala kwa ajili ya vikao


Kutoa huduma za afya kwa wagonjwa wakati wote katika kila zahanati

 
Jumla ndogo

64,800,000

11
Idara ya Ardhi, Maliasili na Utalii

 


Kupima maeneo ya taasisi za umma na kuboresha mipaka ya viwanja

10,000,000

 
Jumla ndogo

10,000,000


Kupima maeneo ya viwanja 2500 na kuboresha mipaka ya viwanja

110,050,000


Kufanya uthamini wa maeneo

51,470,000


Kufanya tathmini ya maeneo kwa ajli ya kodi ya Majengo

15,500,000


Kufanya maandalizi ya Mpango Kabambe wa Mji

22,980,000

 
Jumla ndogo

200,000,000

 
Jumla kuu Ardhi, Maliasili na Utalii

210,000,000

 
Jumla ya Miradi ya Maendeleo

2,218,919,516

Matangazo

  • RATIBA YA MHE. MKUU WA MKOA KUTEKELEZA TAARIFA YA MHE. WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI MAPINGA SIKU.. February 20, 2023
  • NAFASI ZA KAZI. 1. WAANDIKISHAJI WAPIGA KURA 167. 2. WAANDIKISHAJI WA AKIBA 167. September 11, 2019
  • Tangazo la nafasi za kazi Halamashauri ya wilaya Bagamoyo 2020. January 24, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISA MWANDIKISHAJI MSAIDIZI NA BVR OPERATOR BAGAMOYO DC TAREHE 09/01/2020 February 07, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI BAGAMOYO AFUNGA MAFUNZO YA UWAWA..

    March 22, 2023
  • MAFUNZO YA UWAWA YAENDELEA BAGAMOYO..

    March 21, 2023
  • MAFUNZO YA UWAWA KUSAIDIA KUTEKKELEZA MALENGO YA ELIMU BAGAMOYO..

    March 20, 2023
  • DC-BAGAMOYO WATAOCHEZEA HAKI YA WANAWAKE NA WATOTO SERIKALI ITAWASHUGHULIKIA KIKAMILIFU..

    March 08, 2023
  • Angalia zote

Video

KAULI YA RAIS MAGUFULI WAKATI AKIZINDUA BARABARA YA BAGAMOYO - MSATA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 023 - 2440164

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo