• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

SUALA LA USAFI NA MAZINGIRA ISIACHIWE SERIKALI -DED BAGAMOYO...

Posted on: September 3rd, 2025


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji wa  Bagamoyo Bw. Shauri Selenda amesema kuwa suala la Usafi na Mazingira ni suala la wana Bagamoyo wote na siyo jukumu la kuiachia Serikali la kuhakikisha kuwa Mji unakuwa safi.

Hayo ameyasema leo Septemba 03, 2025 wakati akifungua warsha ya siku moja ya wadau wa Mazingira na Usafi uliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Maendeleo ya Kimataifa (UNDP) kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Kiserikali la Taka Ajira Foundation kwa lengo la kujadili jinsi ya kuendeleza uwekezaji katika uwekaji ufumbuzi wa uchumi Duara Miji ya Pwani.

Amesema kuwa wananchi wa Bagamoyo wamejijengea dhana kuwa suala la usafi wao haliwahusu na suala hilo ni la Serikali pekee kitu ambacho si kweli huku akiwa na   imani kwa warsha hiyo inaweza kusaidia kuondoa dhana hiyo kwa  wakazi wa Bagamoyo.

“Usafi ni suala la watu wote na si la viongozi pekee, ambapo Mji wa Bagamoyo ukiwa safi ni sifa kwa wana Bagamoyo wote na siyo sifa inakwenda kwa viongozi wa Serikali” amesema Mkurugenzi Selenda.

Aidha ameongeza  kuwa mambo makubwa ya kuzingatia yanayoweza kufanya Mji  kuwa safi na kuwa na usimamizi bila taka, ni utoaji wa elimu ya usafi na mazingira, Pamoja na uwezeshaji wa wananchi kutambua kuwa suala la taka ni ajira na taka si uchafu na mtu anaweza kupata pesa na kujikwamua katika maisha yake kupitia taka. Lakini pia swala la usimamizi bora wa taka hususani kuipa thamani taka ziwe ajenda za kudumu katika vikao vyetu.

Mkurugenzi huyo ameongeza pia suala la usimamizi wa Sheria za Mazingira na Usafi zitakaposimamiwa vizuri Mji utakuwa safi na tutaongeza wingi wa watalii kutembela Mji wa Bagamoyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI... July 14, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SUALA LA USAFI NA MAZINGIRA ISIACHIWE SERIKALI -DED BAGAMOYO...

    September 03, 2025
  • MHE. RAIS AIPANDISHA HALMASHAURI YA BAGAMOYO KUWA MJI...

    August 22, 2025
  • DED BAGAMOYO AONGOZA KIKAO CHA WATUMISHI BAGAMOYO…

    August 12, 2025
  • DC SHAIBU HONGERENI KWA KUANZISHA MAKAO YA WATU WENYE UHITAJI...

    August 10, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo