• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

DED BAGAMOYO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI....

Posted on: September 30th, 2025


Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo Bw Shauri Selenda Septemba 30,2025 ametembelea na kukagua miradi ya inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri hiyo ya Bagamoyo.

Mkurugenzi ametembelea ujenzi wa jengo la Watoto njiti linalojegwa katikka Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo ,ujenzi wa vibanda vya Halmashauri (Bagamoyo Plaza)eneo la soko jipya,uboreshaji wa miundombinu ya Barabara mzunguko (round About).

Vilevile Mkurugenzi Mtendaji ametembelea ujenzi wa jengo la Halmashauri eneo la ukuni Kata ya Dunda Pamoja na kumalizia ziara yake kwa kutembelea ujenzi wa shule  mpya ya msingi ya Chambezi kupitia Mradi wa Boost.

Mkurugenzi amesema kuwa katika miradi hiyo inaendelea vizuri na ujenzi na ipo katika hatua nzuri huku akiendelea kusisitiza kwa wazimamizi wa miradi hiyo kuhakikisha wanasimamia ubora wa ujenzi Pamoja na vifaa vinavyoletwa kwenye ujenzi huo.

Aidha Bw Shauri amesema kuwa kwa upane wa mafundi ametoa maelekezo kuongeza kasi katika ujenzi wa hiyo miradi ili kuweza kumalizika kwa wakati na kwa ubora na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA... September 16, 2025
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED BAGAMOYO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI....

    September 30, 2025
  • UZINDUZI WA MAKAUSHIO YA MAZAO YA BAHARI BAGAMOYO.....

    September 24, 2025
  • ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA BORA YA MATUMIZI YA FUKWE....

    September 20, 2025
  • SUALA LA USAFI NA MAZINGIRA ISIACHIWE SERIKALI -DED BAGAMOYO...

    September 03, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo