• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

UZINDUZI WA MAKAUSHIO YA MAZAO YA BAHARI BAGAMOYO.....

Posted on: September 24th, 2025


 Kaimu Mkurugenzi mtendaji Ndg Majid Mhina ametembelea na kukagua miradi inayotekelezwa na shirika lisilo la kiserikali la VSO (Voluntary Services Overseas) katika kata ya Zinga eneo la Mlingotini ambapo ametembelea mradi wa kilimo cha mwani kwa kikundi cha Jipe moyo kilichowezehswa vifaa vya ukulima wa mwani na shirikia la VSO, mradi unatekelezwa kwenye eneo la ukubwa wa hekari 1.5


Lakini pia ametembelea  mradi wa kielelezo wa  Ufugaji wa samaki kwenye vizimba na bwawa lenye ukubwa wa mita za mraba 3 ambapo wamepandikiza vifaranga 1200,


 Mradi huo unaweza kufanyika kwenye eneo dogo hata la makazi kwa kuwa halihitaj eneo kubwa la utekelezaji mradi unasimamiwa na Umoja wa Wavuvi Wadogo Bagamoyo (CHAWABA).


Aidha Kaimu Mkurugenzi amezindua na kukabidhi mradi wa kaushio la mazao ya bahari katika eneo la Tandika kata ya Dunda lenye thamani ya tsh Mil 15 ambapo kaushio hilo lina uwezo wa kukausha wastani wa tani 1 za mwani kwa siku kwa kutumia nishati ya jua.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA... September 16, 2025
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA YA OBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.. February 07, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • UZINDUZI WA MAKAUSHIO YA MAZAO YA BAHARI BAGAMOYO.....

    September 24, 2025
  • ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA BORA YA MATUMIZI YA FUKWE....

    September 20, 2025
  • SUALA LA USAFI NA MAZINGIRA ISIACHIWE SERIKALI -DED BAGAMOYO...

    September 03, 2025
  • MHE. RAIS AIPANDISHA HALMASHAURI YA BAGAMOYO KUWA MJI...

    August 22, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo