• Malalamiko |
    • Wasilina nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Ushauri |
Bagamoyo District Council
Bagamoyo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Muundo wa Taasisi
    • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Divisheni na Vitengo
    • Divisheni
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Huduma za Kisheria
      • Kitengo cha TASAF
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Fedha na Hesabu
      • Kitengo cha Usimamizi wa Usafi na Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Teknolojia Habari na Mawasiliano (TEHAMA)
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha mawasiliano Serikalini
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Sheria
    • Matangazo
    • Miongozo
    • Fomu mbali mbali
    • Mpango Mkakati
    • Bajeti Kuu ya Halmashauri 2024-2025
      • Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2025/2026
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Miradi inayoendelea
  • Utalii
    • Kaole Snake Park
    • Kaole Mamba Ranch
    • Caravan Serai
  • Zabuni
    • ZABUNI MBALIMBALI ZA UWAKALA
  • Madiwani
    • Orodha ya Wah. Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
    • Ratiba za Vikao vya Kisheria
    • Vikao vya Wahe. Madiwani
    • Ratiba

KLINIKI YA SIKO SELI KUFANYIKA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA BAGAMOYO TAREHE 05/10/2020

29 September 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, kupitia Idara ya Afya Ofisi ya Mganga Mkuu Wilaya ya Bagamoyo anawatangazia wananchi wote wa Bagamoyo kuwa siku ya Jumatatu ya Tarehe 5/10 /2020 kuanzia Saa 2:30 Asubuhi, kutakua na kliniki maalum kwa wagonjwa wa Siko seli itakayofanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo.

Timu ya wataalamu na Daktari Bigwa Kutoka Chuo Kikuu cha Tiba ya Sayansi  Muhimbili  (MUHAS)  Wakishirikiana na Madaktari wa  Hospitali ya Wilaya ya  Bagamoyo Kitengo cha BIMA watatoa huduma za vipimo na matibabu kwa wagonjwa wa Siko Seli.

HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA;

I. Elimu kuhusu ugonjwa wa Siko seli (Sickle Cell Diseases);

2.  Upimaji kwa kutumia kipima cha kisasa kabisa (Sickle Scan);

3. Matibabu kwa watoto na watu wazima wenye tatizo la Siko Seli;

DALILI ZA UGONJWA WA SIKO SELI;

Kupungukiwa damu mara kwa mara, Kichwa kuuma Sana, Kupoteza fahamu, Joints kuuma Sana, Homa za Mara kwa mara, Kuvimba tumbo, Macho kuwa ya njano, na watoto wenye udumavu wa ukuaji (delay in growth and Development)

Ewe Mwananchi iwapo una Ndugu, Jamaa, Rafiki, Mtoto au Mtoto wa jirani mwenye tatizo la Siko Seli au kuonesha dalili hizo hapo juu afike Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo siku ya Tarehe 05/10/2020 Saa 02:30 Asubuhi ili apatiwe matibabu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu Na. 0784315411 Rehema Kingu, Mratibu wa Ugonjwa wa Siko Seli (SCD) Wilaya ya Bagamoyo

AU

 Dr. Agnes Jonathan, Daktari   bingwa wa Ugonjwa wa Siko Seli kutoka Chuo cha Afya Muhimbili (MUHAS) kwa Simu Na. 0759431294

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.... October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA... September 16, 2025
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI KUDUMU LA WAPIGA KURA 2025 AWAMU YA PILI... May 09, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA WAKIMBIZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA BAGAMOYO... February 26, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DED BAGAMOYO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI....

    September 30, 2025
  • UZINDUZI WA MAKAUSHIO YA MAZAO YA BAHARI BAGAMOYO.....

    September 24, 2025
  • ZIARA YA KUJIFUNZA NAMNA BORA YA MATUMIZI YA FUKWE....

    September 20, 2025
  • SUALA LA USAFI NA MAZINGIRA ISIACHIWE SERIKALI -DED BAGAMOYO...

    September 03, 2025
  • Angalia zote

Video

SOKO LA SAMAKI BAGAMOYO.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Instagram

Tovuti muhimu

  • Salary Slip Portal
  • Presidential Office Regional Administrative and Local Goverment
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi ( LIVE)

Wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Free Visitor&Stat Counter

Muongozo wa Ramani

Wasilina nasi

    Bagamoyo

    Anwani ya Posta: Box 59 BAGAMOYO

    Simu: 0733860575

    Simu ya kiganjani: 0733860575

    Barua pepe: ded.bagamoyo@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya Bagamoyo